juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Katika game 3 zilizopita nahisi Maresca amezingua hasahasa kwenye swala la maamuzi amekuwa mzito kufanya sub ni tofauti na game za nyuma
jana kulikuwa hakuna haja ya kuanza na Disasi wakat bench una mabeki 3 wa kulia sijui Maresca alikuwa anafikiria nini bado Disasi akawa hovyo ila Maresca bado akaendelea kumuacha mpka dakika ya 77
Kulikuwa hakuna haja ya kuanza na Felix,Palmer,Nkunku wote kwa pamoja maana hapo hakuna anayepress au kutrackback
Kwa aina ya uchezaj wetu Nkunku ataendelea kukaa benchi mbele ya Jackson