Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Sanchez anafanya save balaa. Huyu hatakiwi kukaa bench kabisa
Disasi na Vadiashelu ni virusiAcheampong ni mzuri kuliko disasi
Wamesawazisha safi kabisaDaah yan hizi saves anazofanya Sanchez. Aseeeh tunahaja ya kuongeza goli
Una matatizo kichwaniNaendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
WachezajiNaendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
Sio siri Caseido anakuuma mpaka leo. Yaani hata ukikosa hela ya kula utasema tatizo ni CaseidoNaendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
[emoji23][emoji23][emoji23]ilikua point 2 tuu muikute LiverpoolKuna kila namna Manchester United atajipata alafu sisi na wao tutaanza kugombea nafasi ya kucheza europa , mechi 4 points 2 (12) team zenyewe ni daraja la kati sio top 6
SawaUna matatizo kichwani
Shenzi kabisaSawa