Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Waandishi wa habari wametusaliti, wamehamia kwa N. Forest kuwasema wapo kwenye title race 😭

Haya tushinde ht leo bc 😂
 
Nachek game ya moto fulham vs westham nyie viwete mshuke faraja😀😀😀
 
Hizi game 5 zilizopita tumeshindwa kumaliza match katika 1st half tunatengeneza chance nyingi sana ila kufunga inakuwa ngumu. Palmer asipofunga goal zaidi ya moja ndio basi, Jackson naona karudi kwenye default mode
Kama lengo ni kuwa top 4 Jackson atatuchelewesha sana

2nd half tunaonekana wa hovyo.

Referee maamuzi yao ni kama yanakuwa against kuna matukio wapinzan wakifanya inakuwa fair ila kwetu tukifanya maamuzi yanakuwa harsh
 
Hatuna wamaliziaji kuanzia winga walio makini nitasema mpka kesho Jackson si mmaliziaji wakukupa ubingwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom