kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,002
- 21,296
Mlianza kujipa matumaini fake ya ubingwa japo kwa kuzuga hamuutaki! Unataka uchukue eipielo na kichaa madueke ? Bishoo sanchoka? Miguu baiskeli palmer? Kichwa ngumu Jackson? Beki disas? badiashille? Mkijipata sana next season mtashiriki conference, make Europa ndo hivo kina Newcastle wanakaza huko na Bournemouth,,,