kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,203
- 15,961
Timu inamtegemea sancho, madueke , palmer na Jackson eti ibebe EPL , mmelogwa ? Mtalima sana lami na hakuna hata kikombe cha chai
Kulikua hakuna haja hata ya kumletea hizi takwimu, hiyo comment yake ukiiangalia huyo hana utimamu? Anakwambia Caceido hamna kitu!!!
Striker yupo sema kumpa nafasi kocha hatak anataka tu huyo huyo jackson kichwa panzi, yule dogo bora angebaki zake barca.Huna striker wa kueleweka unajaza namba kumi kibao
KDH,Felix
Shit
Tunacheza conference league, isitoshe ni katikati ya msimu ni ngumu kuvutia quality playerDirisha dogo ili la usajili ungependa tajiri miluzi asajili mshambuliaji gani kati ya isak au Gyokeres ambaye anaweza kuendana na mfumo wetu
Isak atakuwa ghali sanaDirisha dogo ili la usajili ungependa tajiri miluzi asajili mshambuliaji gani kati ya isak au Gyokeres ambaye anaweza kuendana na mfumo wetu
🤣🤣🤣Naona leo tumeokota pochi ya mzungu.
Huyo kumpata Ni changamoto sanaTunamhitaji Isak
Akiondoka Veiga nafasi ya Cucurella atacheza Nani?Mathys Tel to Chelsea
Chrisopher Nkunku to Bayern Munich
Renato Veiga and Carney Chukwuemeka to Borussia Dortmund