Issue ya defence na goalkeeper ni eneo muhimu sana kwa title contender na hapo ndio tunamapungufu makubwa
Mpira ni mchezo wa makosa lakini huko nyuma tunafanya makosa mepesi sana karibu kila baada ya mechi mbili
Resilience issue bado hatujawa nayo ya kuaminika hatuna uwezo wa kuhimili msako mkali bila kuruhusu goli ambao nayo ni character ya bingwa huwezi dominated game zote kuna mechi unasurvive kwa kuzuia/kutofungwa
Issue ya injury ni common factor kwa timu zote mafano licha ya kuwa na kikosi kipana lakini hakuna mbadala wa palmer na Caseido in term of quality
Mwisho ni gap kubwa na anae ongoza ligi wakati tukiwa kwenye good runs, ukiwa kwenye winning streak kama hizi hutakiwi kuwa nyuma ya mshindani wako kwa zaidi ya point 4