Tuko pamoja naishabikia pia angalau itowe sare tu ya bila kufungana, ila duh sijui.Kwa mara ya kwanza leo nitaishabikia Man Utd. Sasa sijui kama wataweza walau kupata hata sare
Tuko pamoja naishabikia pia angalau itowe sare tu ya bila kufungana, ila duh sijui.Kwa mara ya kwanza leo nitaishabikia Man Utd. Sasa sijui kama wataweza walau kupata hata sare
Ila likitokea kama muujiza tusherekee tu. Hao watu wanaona wanaweza kutuzidi ubora wakati naona walishakata ringi tayariNyumbu hawezi mfunga Arse8, labda atoe sare
Hii vipi,. bado ni kweli?Maresca alishasema kumpanga Enzo ni kucheza pungufu balance inakosekana.
Kala benchi dhidi ya Villa na tukacheza kandanda bora nadhani kwa zaidi ya miaka kumi iliyopitaNimesoma chief kumtoa Madueke kikosini na kumpanga Enzo ndio kucheza pungufu huko. Maresca anapenda kuwapanga mawinga wa one v one. Hawezi kumweka Madueke benchi
Nikweli kabisa kwasasa pametulia kweli kweliMaresca masterclass imeondoa 99% ya kelele chafu kuhusu Chelsea.
Hakuna kelele zaidi kuhusu kufukuzwa kwa Pochettino.
Hakuna kelele zaidi kuhusu Chalobah au Chilwell na kutelekezwa kwao.
Hakuna kelele tena kuhusu ukubwa wa kikosi cha Chelsea.
Hakuna kelele zaidi kuhusu usajili wa billioni 1.
Hakuna kelele zaidi kuhusu kikosi cha vijana na ukosefu wa uzoefu.
Kinyume chake, hivi karibuni au baadaye, mtindo wa kujenga upya wa Chelsea atakuja kuwa mfano wa kuigwa.
Tusubiri tuone
KWani kauli ya Mourinho ndio universal conclusion?Jose Mourinho aliwahi kusema ukiwa na striker mzuri utashinda mechi, ukiwa na defense nzuri utashinda makombe. Kama mantiki yangu hujaelewa mkuu basi tuache
Tumeweka mali zetu mkuu nyumbu afe😂😂Kwa mara ya kwanza leo nitaishabikia Man Utd. Sasa sijui kama wataweza walau kupata hata sare
Cha muhimu uahindi ila ushindi wa clean sheet ni muhimu zaidiCha muhimu tufunge magoli mengi kuliko ya kufungwa.
Uko sahihi kwa hili unalosema. Ila sicho nilichomaanishaKWani kauli ya Mourinho ndio universal conclusion?
Team ikishinda game zote Kwa ushindi wa 5-4 haiwezi kuwa bingwa?
Mkuu clean sheet sio tu rekodi binafsi za kipa hata timu pia inafaidika. Msimu uliopita mpaka mechi ya 13 tulikua tumeruhusu magoli 20 huku tukiwa tumefunga magoli 22 na tulikua tunashika nafasi ya 10. Leo hii tuko nafasi ya pili tukiwa tumeruhusu magoli 14 na kufunga magoli 26 nafasi ya 2 tukilingana na Arsenal. Imagine tungekua tumeruhusu magoli mengi yawezekana hata hiyo nafasi tusingekuwepo.Clean sheet ni rekodi binafsi za kipa.
Msimu uliopita Mechi kibao city alishinda kwa both scores. Alikuwa anafungwa goli 1 au mbili ila yeye alikuwa anababua goli nyingi 4 - 1, 5 -2
Team nyingi walikuwa wanamkamia Palmer hii ikafanya supply ya mipira kwenda mbele uwe mdogo na ukizingatia yeye ndio no 10 wetu but kitendo cha kocha kumuongeza Enzo kucheza juu kumefanya opponent wajikite kwa Palmer wamsahau Enzo ndipo hapo Sasa tunatumia mwanya huo kuwaadhibuKwakweli kocha alifanya homework yake vizuri sana. Hata mimi naona bora Enzo acheze juu ya Lavia na Caicedo halafu Palmer acheze kwenye position yake asilia RW. Madueke keshaprove ni sikio la kufa bora awe anatokea bench kuliko kumchezesha Palmer AM ili Noni acheze RW.
Well done coach Enzo.
Arsenal hawezi leo kushinda dhidi ya man uNyumbu hawezi mfunga Arse8, labda atoe sare
Kwa hiyo umekula na ubwabwa bila kutukaribisha Wana blues wenzako ,?Wadau leo nimebahatika kukutana ana kwa ana na Mkuu lembu , amenikaribisha nyumbani kwake tumepiga stori nyingi sana za Chelsea na Maisha.
Nimefarijika sana kupitia uzi huu nimeongeza rafiki nje ya ushabiki wa mpira.
Tukiwa hapa jukwaani tuishi kwa upendo na furaha na kuheshimu mawazo ya mtu, tuburudike na mwisho wa siku tuongeze marafiki kupitia jukwaa hili.
Ahsante sana Mr. Lembu.
Jambo jemaWadau leo nimebahatika kukutana ana kwa ana na Mkuu lembu , amenikaribisha nyumbani kwake tumepiga stori nyingi sana za Chelsea na Maisha.
Nimefarijika sana kupitia uzi huu nimeongeza rafiki nje ya ushabiki wa mpira.
Tukiwa hapa jukwaani tuishi kwa upendo na furaha na kuheshimu mawazo ya mtu, tuburudike na mwisho wa siku tuongeze marafiki kupitia jukwaa hili.
Ahsante sana Mr. Lembu.
Jambo jema sana kujuana kihalisi kuliko kujuana nyuma ya keyboard tu. Ndio faid aya ushabiki, unapata familia zaidi ya ile ya damu. Cash Money ni kijana mdogo ila mwenye hekima sana kuliko hata wengi wetu huku. Uishi milele mkuuWadau leo nimebahatika kukutana ana kwa ana na Mkuu lembu , amenikaribisha nyumbani kwake tumepiga stori nyingi sana za Chelsea na Maisha.
Nimefarijika sana kupitia uzi huu nimeongeza rafiki nje ya ushabiki wa mpira.
Tukiwa hapa jukwaani tuishi kwa upendo na furaha na kuheshimu mawazo ya mtu, tuburudike na mwisho wa siku tuongeze marafiki kupitia jukwaa hili.
Ahsante sana Mr. Lembu.
Safi sana mkuu naona umetekeleza kama ule uzi maarufu wa jf...umeenda kwa bwana lembu na kula kimasihara( lkn ni msosi) safi sana huo ndo undugu😂Wadau leo nimebahatika kukutana ana kwa ana na Mkuu lembu , amenikaribisha nyumbani kwake tumepiga stori nyingi sana za Chelsea na Maisha.
Nimefarijika sana kupitia uzi huu nimeongeza rafiki nje ya ushabiki wa mpira.
Tukiwa hapa jukwaani tuishi kwa upendo na furaha na kuheshimu mawazo ya mtu, tuburudike na mwisho wa siku tuongeze marafiki kupitia jukwaa hili.
Ahsante sana
Mmefanya jambo kiuungwana..Jambo jema sana kujuana kihalisi kuliko kujuana nyuma ya keyboard tu. Ndio faid aya ushabiki, unapata familia zaidi ya ile ya damu. Cash Money ni kijana mdogo ila mwenye hekima sana kuliko hata wengi wetu huku. Uishi milele mkuu
Wakuu mnaalikana wenyewe hamtaki kutualika na sisi sio vizuri.Wadau leo nimebahatika kukutana ana kwa ana na Mkuu lembu , amenikaribisha nyumbani kwake tumepiga stori nyingi sana za Chelsea na Maisha.