Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je tunaweza kubeba point zote 21 kwa mechi za Desemba?

1733129610500.jpeg
 
Ukiwa na Neto, Palmer, Enzo, Sancho na zaidi Jackson kule mbele. Timu pinzani inakuwa tu bize kukaba kuliko kushambulia. Ndicho kilichotokea jana. Mabeki wetu wanaonekana bora kumbe si bora ni kwa vile tunawapeleka mchakamchaka kule mbele
Kweli kabisa ukitaka kuona udhaifu wa defence yetu Ni pale ambapo tunapelekewa moto
 
Ukiwa na Neto, Palmer, Enzo, Sancho na zaidi Jackson kule mbele. Timu pinzani inakuwa tu bize kukaba kuliko kushambulia. Ndicho kilichotokea jana. Mabeki wetu wanaonekana bora kumbe si bora ni kwa vile tunawapeleka mchakamchaka kule mbele
Naona jana hata Sanchez alitulia alifanya save pale alipohitajika kufanya hivyo
 
Madueke, Jackson, Fofana, Sanchez, Felix na Maresca hawa wote bado ni matakataka tu.
 
Enzo Maresca ni takataka tu sio kocha wa hadhi ya kufundisha klabu kama Chelsea. Tulifanya makosa makubwa sana kuacha kumchukua Hans Flick wakati alikuwa anapatikana na tulihusishwa kumtaka, tukaacha kuchukua kocha wa mpira tukaenda kuchukua kocha wa kuchamba. Kifupi Chelsea ilivurugika toka iuzwe.
Huyu kipenzi chako anafanya nini cha maana kule kwenye ligi ya two horse, hizo philosophy zake zisizobadilika EPL angeishia kusumbua mechi zisizozidi 5
 
Mkuu ushindi wa clean sheet una mchango gani kwenye kushinda mechi au ubingwa ukilinganisha na ushindi wa magoli mengi zaidi Ya yale ya kufungwa?
Mkuu inasaidia nini ikiwa unafunga magoli halafu wewe unawekwa pia. Yan mechi inaisha mmeshinda 4-3, 2-1, 3-2. Linfanisha na yule anayeshinda 2-0, 3-0 au 4-0 huoni tofauti hapo mkuu?
 
Nampenda sana Marc Guehi kwa hili tangazo. Hii ndio picha halisi inavyokuwa unapojaribu kuwalazimisha watu kutangaza l;ifestyle na imani za watu wengine. Yeye ni Mkristo na kumtangaza Yesu sio si kosa. Pia Kampteni wa ISP Town naye alikataa kabisa kwa kusema yeye ni Muislamu safi hawezi kutangaza imani ya watu wengine

1733222930033.png
 
Ushindi ndio muhimu, zote ni point 3 Mkuu. Clean sheet hizo ni rekodi binafsi za kipa. Kwa timu nzima utaulizwa jana tumeshinda au tumefungwa?

Sidhani kama utajibu tumeshinda mechi kwa kufungwa goli 2.
Jose Mourinho aliwahi kusema ukiwa na striker mzuri utashinda mechi, ukiwa na defense nzuri utashinda makombe. Kama mantiki yangu hujaelewa mkuu basi tuache
 
Whatever Enzo Maresca did in combining these triple midfielders shall never be forgiven by any opponent facing them.

Aston villa has no match for them, they tried everything in their power to put a shot on target,even to break through them was all in vain. 😤💥

Roméo Lavia and Moisés Caicedo were both holding down their counterattacks just to unlock Enzo Fernandez, that's why Enzo Fernandez went beyond a limit and scored for Chelsea because he was absolutely free in that midfield.

The same same midfielders ( Caicedo & Lavia) unlocked Cole palmer from defensive work and enable him bring in some tactical works hence perfect execution!!⚽

Enzo Fernandez X Roméo Lavia X Moisés Caicedo is unstoppable at all. Don't ever take that for granted!! 👀👀💥🔥

#CFC #chelseaglobalnews
 
alivyo ujuaji mwingi utashangaa anabadilsha line up. Ilimradi tu basha ake Madueke acheze.
 
Whatever Enzo Maresca did in combining these triple midfielders shall never be forgiven by any opponent facing them.

Aston villa has no match for them, they tried everything in their power to put a shot on target,even to break through them was all in vain. 😤💥

Roméo Lavia and Moisés Caicedo were both holding down their counterattacks just to unlock Enzo Fernandez, that's why Enzo Fernandez went beyond a limit and scored for Chelsea because he was absolutely free in that midfield.

The same same midfielders ( Caicedo & Lavia) unlocked Cole palmer from defensive work and enable him bring in some tactical works hence perfect execution!!⚽

Enzo Fernandez X Roméo Lavia X Moisés Caicedo is unstoppable at all. Don't ever take that for granted!! 👀👀💥🔥

#CFC #chelseaglobalnews
Kwakweli kocha alifanya homework yake vizuri sana. Hata mimi naona bora Enzo acheze juu ya Lavia na Caicedo halafu Palmer acheze kwenye position yake asilia RW. Madueke keshaprove ni sikio la kufa bora awe anatokea bench kuliko kumchezesha Palmer AM ili Noni acheze RW.

Well done coach Enzo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom