Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Attachments

  • Screenshot_20241206_050702_Instagram.jpg
    Screenshot_20241206_050702_Instagram.jpg
    191.9 KB · Views: 16
Jumapili tuko na viwete walioweza kumtumbua City goli 4 nunge
Madueke naona hat trick ya pili
Naona pia Jackson, Palmer na Nkunku akiingia na kufunga goli
Natabiri Chelsea 6-2
 
Nyie kenge mmefkaje nafas ya pili

Palmer mpiga nyeto🤣🤣

Fofana misikio yake🤣🤣🤣

Jackson mwimba kwaya wa parokia ya Mathias mulumba 🤣🤣🤣🤣

Badiashile bichwa la kipemba🤣🤣🤣🤣
 
Usajili wa Cole Palmer watangazwa na Fabrizio Romano tarehe 30 Agosti 2023
1733657077610.png

Angalia kilichofuata, mashabiki wanatapika nyongo ile mbaya
1733657186733.png

1733657196770.png

1733657209388.png

1733657218135.png

1733657228737.png

1733657245257.png

1733657256867.png

1733657268020.png

Na maoni mengi mmbaya zaidi kutoka kwa mashabi wa Arsenal na Man United
Wakidiriki hata kumlinganisha Palmer na HAvertz na Mount
Sasa wamekaa kimya
Halafu miezi michache baadaye haya yakatokea
1733657601162.png
 
Usajili wa Cole Palmer watangazwa na Fabrizio Romano tarehe 30 Agosti 2023
View attachment 3172132
Angalia kilichofuata, mashabiki wanatapika nyongo ile mbaya
View attachment 3172133
View attachment 3172134
View attachment 3172135
View attachment 3172136
View attachment 3172137
View attachment 3172138
View attachment 3172139
View attachment 3172140
Na maoni mengi mmbaya zaidi kutoka kwa mashabi wa Arsenal na Man United
Wakidiriki hata kumlinganisha Palmer na HAvertz na Mount
Sasa wamekaa kimya
Halafu miezi michache baadaye haya yakatokea
View attachment 3172143
Kwakweli Mungu atusamehe ,mimi mwenyewe sikuwa na matarajio na huyu dogo kabisa ,ile mechi ya kwanza ndio nikaona huyu dogo ana kitu kikubwa nikabadilisha mawazo yangu
Moja kati ya sajili bora kabisa kuwahi kutokea Chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom