Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Siku na mimi nikija chuga nitawatafuta aseeh. Ikiwezekana hata tukacheki game ya Chelsea pamoja
🤣🤣🤣View attachment 3169097Kikosi kinachoanza leo
Pia na wengine ambao wapo daslam ..tujuaneSiku na mimi nikija chuga nitawatafuta aseeh. Ikiwezekana hata tukacheki game ya Chelsea pamoja
Kikosi sio kibaya ukizingatia kipindi hichi mwez wa 12 fixture nyingi zinafuatana so naona sio mbaya nice rotationKikosi kinacho anza leo. Nini maoni yako
Tena kubwaSawa Southampton ni wachovu ila kwa kikosi hiki naona defensively tutapata changamoto
Kuna jamaa mwingine anakaa Unga Ltd anaitwa Olachuga embu mcheki na yeye.Nimekuja mara 1 chuga kusalimia nikaona ni vema nimtafute Mkuu Lembu tusalimiane. Muda mwingi nakuwa magharibi mwa Tanzania. Hope tutakutana one day Mkuu, tuombeane uzima
ZimepatikanaHii game ilitakiwa tuwe na goli 5 mpaka half time
Sio anambania Ni kwasababu tuna Jackson Ni kweli Nkuku Ni finisher mzuri kuliko Jackson but Jackson anakupa vitu vingi uwanjani kuliko Nkuku Ana kasi, Ni press machine, anajua kuhold mpira, yupo vizuri kwenye link up play kiasi anawafanya mpaka wenzake wawe Bora.Nkuku bonge la player ila kocha sasa dah kama anambania
Kwenye FIFA Club World Cup 2025 Tumepangwa Group D naNaomba kujua group ya Chelsea kwenye droo ya Club bingwa ya Dunia