Baadhi ya mashabiki kuifananisha Chelsea na Barcelona na Liverpool sio sawa.
Barcelona haikujengwa upya kama Chelsea.
Liverpool haikujengwa upya kama Chelsea.
Chelsea ni timu iliyoundwa upya na vipande vinaunganishwa upya.
Kwenye timu iliyobeba UEFA 2022 ni James mgonjwa tu ndie kabaki.
Msiongee kama makocha bobezi wakati hata timu ya kijiji hamuwezi kuinoa.
Mwacheni Enzo Maresca afanye kazi yake ambayo inaenda vizuri sana
Viraka vikizibwa tu Chelsea itakuwa moto wa kuotea mbali.
Hamtakuwa tena mkimsema kocha wala kuzitaja majin a ya Barca na Liver hapa.
Viraka vinavyotakiwa kuzibwa ni:
- Kipa bora.
- CB wa kulia bora.
- Forward bora. wakisajiliwa hao wachezaji,
Chelsea itabeba makombe mengi na kuzikung'uta hizo timu mlizozitaja pamoja na hao makocha wao