Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiyo formation wakati Chelsea inamiliki mpira, mikipoteza tu inarudi kwenye ile ya kawaida
Yaani Enzo anashuka kwenye midfield kuungana na Lavia na Caicedo anaenda kwenye RB huku Cucurella, Colwill na Fofana wakibaki mabeki wa katikati.
Yeah ndo maana nilisema tukiwa kwenye build up...tukidefence tunakuwa hvyo km ulivyosema
 
Nani anastahili kuwa wa pili kwenye msimamo
Chelsea au Arsenal
1733067458108.png
 
Marc Cucurella amekomaa kuwa Fullback kamili sasa. Sasa anaweza kukaba, kunyang'anya mipira, kushinda mipira ya juu na chini, sio tu kupiga pasi za nyuma na za pembeni tu kama ilivyokuwa msimu uliopita lakini pia anaweza sasa kupiga pasi za kuvunja mstari wa wachezaji na kuwachezesha wengine kwa kwa pasi nzuri fupi fupi.
1733068668875.png
 
View attachment 3166694
Nimependa sana alivyoimprove yeye pamoja na caicedo...nikikumbuka kipindi kile cha potter wakati wamesajiliwa cucurella alikuwa ndio uchochoro wetu mixer kufanya vituko ( sijui alikuwa hajiamini) lkn sasahv km kazaliwa upya upande wake umekuwa mgumu kupitika 1v1 humtoki kirahisi
 
🤣🤣🤣🤣🤣hahaaaa kmamae Una chuki binafsi na Chelsea ' ,ila leo kaa ukijua Aston villa tunamywa supu
Mimi shabiki wa
Nimependa sana alivyoimprove yeye pamoja na caicedo...nikikumbuka kipindi kile cha potter wakati wamesajiliwa cucurella alikuwa ndio uchochoro wetu mixer kufanya vituko ( sijui alikuwa hajiamini) lkn sasahv km kazaliwa upya upande wake umekuwa mgumu kupitika 1v1 humtoki kirahisi
Cucurela ni mtu na nusu .nimeona Leo right fullback ni cancedo...lakini wakati wa kushambulia anaingia katikati....kusaidia lavia na Enzo...fofana injury but sijui itakuwa mda gani
 
Marc Cucurella amekomaa kuwa Fullback kamili sasa. Sasa anaweza kukaba, kunyang'anya mipira, kushinda mipira ya juu na chini, sio tu kupiga pasi za nyuma na za pembeni tu kama ilivyokuwa msimu uliopita lakini pia anaweza sasa kupiga pasi za kuvunja mstari wa wachezaji na kuwachezesha wengine kwa kwa pasi nzuri fupi fupi.
View attachment 3166694
Pochetino ilibaki kidogo aamuuze january, pumbaf sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom