Sijui kwanini mashabiki wengi wana mbeza madueke, huyu kijana ni bonge la mchezaji hizo nafasi anazo tengeneza wachache ndo wanaziweza, huyu na saka tofauti ni uzoefu akikaa misimu mi wili epl atakua mzuri kuliko saka Madueke anakupa vitu vingi uwajani.
1. Anaweza kupenye kwenye box ya 16 haraka
2. 1v1 madueke ni muzuri anaweke defenders wa timu kinzani kwenye panic mood au tension.
3. Madueke anarudi nyuma kukaba haraka na matokeo yanaonekana.
4. Counter attack ni mzuri anakasi nzuri sanaa
5. Madueke anatoa pass za cross wakati mgine ambazo huleta kona za haraka.
Joa ferex, sacho, modriki hawawezi kukupa hayo yote.
Kwahi kocha iko sahihi kumpanga madueke kuliko hao wengine.......kama alivo kua sahihi kumpanga Jackson kuliko Nkunku Jackson amekua bonge la striker Nkunku hawezi kujiposition hana mbio mipira ya juu inampa shida sana passing yake haiko accurate 100% bado Jackson ni mzuri tu.
Enzo udhaifu wa kuzuia umemfanya awe sio bora kwa Coicedo au Lavia tatatizo la chelsea sio kufunga ni kufungwa kwasbabu kufunga kila mtu anaweza kwa mfumo wa kacha wa sasa Enzo ni mzito kurudi nyuma af tena yeyebanachexea kati kati ya uwanja ambao ndo fasi nzuri concedo ku fistribute mpira pasi za Enzo hazifiki pembeni ya wachezaji winger huo ni udhaifu mgine.