The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Kwa taarifa yako mwakani anatunukiwa balloon d'orHuyu Jackson anafunga team za championship tu
Mwafrika tapeli mno huyo😅
Kwa taarifa yako mwakani anatunukiwa balloon d'orHuyu Jackson anafunga team za championship tu
Mwafrika tapeli mno huyo😅
Ya kukimbia km kakatwa kichwani🤣Kwa taarifa yako mwakani anatunukiwa balloon d'or
Niliona clip moja yupo studio anarekod🤣Lile ni takataka
Yako imeanzia wapi mkuu?Palmer miguu inaanzia kiunoni at ndio star wa team🤣
Sasa miguu inaanzia chini ya magoti tumezoea ila palmer 😆Yako imeanzia wapi mkuu?
Caicedo ni ngolo kante wetu kwa sasa , mapafu ya mbwa kama hawa huwa hawapumzishwi labda aumie au mechi za carabaoMshahara wa James aongozewe Caicedo, huyu jamaa apumzishwi kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣Badiashile amekosa tuu Shuka na makatambuga ni mmasai pure
Arsenal anacheza leo saa 18.00Yote kwa yote Point tatu muhimu , tuko nyuma ya city Kwa sasa ,kesho Arsenyetoz a draw au afungwe kabisa
Kwa taarifa yako tu, Nicolas Jackson kachatumbukiza wavuni mabao 7 dhidi ya Big SixHuyu Jackson anafunga team za championship tu
Mwafrika tapeli mno huyo😅
Madueke 1 = Sterling 9. Wacha ujinga weweKwa huyu madueke mngemuacha Sterling tu😀
Anajitoa sana, ndio uzuri wakeBora James ameumia yale mambo ya kumpanga Gusto/James nafasi ya Cucurela yalikuwa maamuzi ya ovyo. Cucurela hana mbadala jamaa anakiwasha hatare.
Acha kututania wewe, wamasai hawashiki kiunoBadiashile amekosa tuu Shuka na makatambuga ni mmasai pure
Leo kaacha kudeka, ni mmoja wa wachezaji waliocheza vizuri sanaFelix mchezaji anadeka kama last born dakika ya 60 upepo umeshakata kama sio professional player kuna watu humu wanampigia chapuo aanze kwenye EPL maybe kukiwa na majeruhi
Kichwa cha Madueke always kinakinzana na maamuzi sahihi end product always ni poor
Leo Badiashile kacheza vizuri ila sio wa kumuamini
All in all tumecheza kimayaimayai sijui ni fatigue ya International game
Bado Chelsea tuna shida na gapu kubwa kwenye midfield wakati tunapoteza mpira. Pia mabeki wetu na DM hawana uzoefu wa kuzuia mashambulizi ya kushtukizaFelix mchezaji anadeka kama last born dakika ya 60 upepo umeshakata kama sio professional player kuna watu humu wanampigia chapuo aanze kwenye EPL maybe kukiwa na majeruhi
Kichwa cha Madueke always kinakinzana na maamuzi sahihi end product always ni poor
Leo Badiashile kacheza vizuri ila sio wa kumuamini
All in all tumecheza kimayaimayai sijui ni fatigue ya International game