Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu zin azocheza leo, Marc Guiu ana dhamani kubwa kuliko timu nzima ya Heidenheim

1732812301495.png
 
Timu zin azocheza leo, Marc Guiu ana dhamani kubwa kuliko timu nzima ya Heidenheim

View attachment 3164542
--------------------Guiu--------------------------

Mudryk ------------Nkunku -----------------Sancho

-----KDH -------------------C asadei-------------

Veiga -------Badiashile --------Tosin ------- Disasi

-----------------Jorgensen---------------------

Bench
1) Sanchez
2) Bergstrom
3) Colwill
4) Samuel
5) Mheuka
6) Dyer
7) George
8) Chukwuemeka
9) Madueke
10) Felix
 
Hivi Sanchez huwa anaanzaje kwa Jergensen. Jamaa ni bonge la gollie
Filip sio mzuri kwenye distributions, un amuona hata na timu ndogo kama hii ya Heidenheim bado alikuwa na kigugumizi kwenye kuanzisha mpira langoni. Uzuri wake upo tu kwenye kujiposition kama kipa na kuzuia mashuti. Ila bado hata mimi ningempendekeza Filip zaidi ya Sanchez
 
Labda waarabu wa Saudia league wanaweza kutoa. Na James akubali Kwenda Saudia akasomewe Albadiri
Kuna wakati huko nyuma nilisema hovyo kuhusu James na kudai kuwa Chelsea sio wodi ya wagonjwa nikashambuliwa sana hapa. Ila sasa baada ya hii injury ya juzi mashabiki wengi wa Chelsea wameshamkatia tamaa James na wengi wanamsema vibaya. Huyu Jamaa angeachana na mpira tu na aende akawe Pundit au ajifunze ukocha. Mpira wa miguu hauna future tena kwake. Mwili wake haukuumbwa kwa ajili ya mpira
 
Yule shabiki wa Hans Flick anaona vile ana struggle huko na high defensive line,
Watu wameshamsoma Imagine ingekuwa England ndio wangemvua nguo
Kuna watu wanamchukulia poa Enzo kisa hana high profile ila kwa anachotupa sasa sidhani kama kuna kocha angekifanya ambae alikuwa sokoni last summer
 
High line ni ukabaji wa kipuuzi sana, Nakumkbuka Spurs walitufanyia hivyo tukawashindilia magoli na Jackson akafunga hat-trick
 
Palmer ndio anategemewa na hili timu la kengez

Palmer mpiga nyeto🤣

Jackson muimba kwaya wa Matias mulumba 🤣🤣

Badiashile bichwa la kipemba🤣🤣 zito

Kuna lile beki lenu linautege km wema sepetu🤣🤣🤣

Kenge nyie mpigwe na villa
 
🤣🤣🤣🤣🤣hahaaaa kmamae Una chuki binafsi na Chelsea ' ,ila leo kaa ukijua Aston villa tunamywa supu
 
Palmer ndio anategemewa na hili timu la kengez

Palmer mpiga nyeto🤣

Jackson muimba kwaya wa Matias mulumba 🤣🤣

Badiashile bichwa la kipemba🤣🤣 zito

Kuna lile beki lenu linautege km wema sepetu🤣🤣🤣

Kenge nyie mpigwe na villa
bange zitakuua wewe
 
Sancho mjengoni, lavia CB, fofana RB, mtapigwa kama ngoma, save hii comment !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom