lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
28 ni sawa kabisa kwa sababu hatutaki too young CB ili awape nafasi hao dogosSasa umri wake uko je?
28 ni sawa kabisa kwa sababu hatutaki too young CB ili awape nafasi hao dogosSasa umri wake uko je?
jamaa kaeleza vizuriAina gani hiyo ya uchezaji wa Madueke ambao ni Rare? Compared na Saka, Neto, Salah?
Tutahitaji pia defender anayejua kuthibiti eneo la penalti kama alivyokuwa Silva. Chelsea ipo kwenye orodha ya timu zinazofukuzia saini ya Jonathan Tah wa Leverkusen. Msimu ujao wa kiangazi atakuwa free agent na tukimpata huyo anaweza kutufaa sana.. Barcelona na Real Madrid pia wanamtaka.
View attachment 3160465
Bastoni hacheki Kati Sisi tunahitaji beki atakayecheza Kati pale ndipo penye shidaAchana na huyo kama tunataka beki kisiki twende pale Napoli tumchukue Alessandro Buongiorno, huyo ni kisiki. Ikishindikana huyo nendeni pale Inter Milan chukueni mchezaji anaitwa Alessandro Bastoni huyu nae yuko njema sana. Haya wachezaji wengine hao nawambieni, kazi kwenu.
Tah anakuwa free agent na Barselona wako stage ya juu katika kumsajili wakati wa kiangaziAchana na huyo kama tunataka beki kisiki twende pale Napoli tumchukue Alessandro Buongiorno, huyo ni kisiki. Ikishindikana huyo nendeni pale Inter Milan chukueni mchezaji anaitwa Alessandro Bastoni huyu nae yuko njema sana. Haya wachezaji wengine hao nawambieni, kazi kwenu.
Kwa soka la sasa na kwa style ya Marseca, winga wanatakiwa wawe kama wing-backs. Waweze kushambilia na pia waweze kukaba kwenye kiungo na pembeni kama anavyofanya CucurellaHiyo point wanasema Madueke anafanya kazi kubwa kwenye kukaba mi naona ni kijinga, kazi kubwa ya msingi ya winga ni kutengeneza nafasi za kufunga, kuassist na kufunga mabao.
Labda useme Madueke anapangwa japo sio kwa umuhimu kwasababu Mudyk ana mawenge na Sancho mgonjwa mgonjwa.
Madueke aendelee kumshikia NETO nafasi yake.
Mbona Liverpool ameweka dudu na wazungu wakatika kabisaHuyu Jackson anafunga team za championship tu
Mwafrika tapeli mno huyo😅
Goal differentHatufanani Mkuu THE BLUES tuna UEFA 2.
Ni goal forGoal different
Umenena kiongozi..hasa kipindi Cha potechino..haijawahi kumfunga spursPepe alibahatisha gemu moja ya carabao kama sio Fa sikumbuki vyema .. kumchapa spurs kinyume na hapo huwa ni mteja wake wa kila msimu
Huyo nilishamjibu anajifanya haoni majibu yangu. Jackson kaifunga city mara 2, Liver mara 1 na Spurs mara 4Mbona Liverpool ameweka dudu na wazungu wakatika kabisa
Jamaa anasura ya kilevi, inaelekea atapiga sana ting'asi.Kama ni kweli haya ni matusi ya wazi kabisa
Van Dijk:
"Nilipohisi kuboreka mchezoni nilimpasia Mbappe mpira na kuuchukua tena bila shida."
View attachment 3163825
Chelsea wanafikiria kumuuza Reece James, na wanaweza kumwachilia kwa chini ya pauni milioni 20 pamoja na addons ambazo zitajilimbikiza katika gharama za kihalisia, kulingana na kiasi cha muda anachocheza. Hivi ndivyo Real Madrid wanavyotaka na waje tu.
View attachment 3163745
Acheni bangi
In Sanchez we trust
Sasa wewe unamlinganisha James na TAA kweli, hata nafsi yako inakusutaOnce upone a time huyu alifanyiwa hype ya kuwa eti ndiye Beki 2 bora pale England zaidi ya hata TAA