Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
KTBFFH 🔵🔵🔵🔵
🤣Madueke 1 = Sterling 9. Wacha ujinga wewe
Hili ni tatizo sugu kabisaBado Chelsea tuna shida na gapu kubwa kwenye midfield wakati tunapoteza mpira. Pia mabeki wetu na DM hawana uzoefu wa kuzuia mashambulizi ya kushtukiza
Magoli mengi ya kufunga.Mwenye uelewa anieleweshe, kwa nini tupo juu ya Arsenal wakati kila kitu tunafanana?
tumefunga magoli 23 wao wana 21Mwenye uelewa anieleweshe, kwa nini tupo juu ya Arsenal wakati kila kitu tunafanana?
Aisee umetumia silaa nzito sana hapaHatufanani Mkuu THE BLUES tuna UEFA 2.
Mwenye uelewa anieleweshe, kwa nini tupo juu ya Arsenal wakati kila kitu tunafanana?
Pepe alibahatisha gemu moja ya carabao kama sio Fa sikumbuki vyema .. kumchapa spurs kinyume na hapo huwa ni mteja wake wa kila msimunaona kubwa jinga la wiki mpaka sasa ni Pep na City yake, City 0-4 Spurs!
Madueke afai kuwa Chelsea ni vile kocha anampenda ni jinga sanaFelix mchezaji anadeka kama last born dakika ya 60 upepo umeshakata kama sio professional player kuna watu humu wanampigia chapuo aanze kwenye EPL maybe kukiwa na majeruhi
Kichwa cha Madueke always kinakinzana na maamuzi sahihi end product always ni poor
Leo Badiashile kacheza vizuri ila sio wa kumuamini
All in all tumecheza kimayaimayai sijui ni fatigue ya International game
Kocha akiendekeza hilo jinga lake hata top4 ataisikia kwnye bomba.Madueke afai kuwa Chelsea ni vile kocha anampenda ni jinga sana
Mimi ninachomshauri kocha afanye rotation kwa wachezaji wote wazuri. Sioni kwa nini Madueke yeye tu ndie aanze wakati mchezaji kama Sancho, Neto, Felix, Nkunku na hata Mudryk kwa sasa ni wazuri??Madueke afai kuwa Chelsea ni vile kocha anampenda ni jinga sana
Niliwaambia pale hamna mchezaji na hapo bado kocha kampunguzia majukumu uwanjani🤣Lini tuanze kumjadili Cole palmer kwamba ni flop?? Ule msimu ilikuwa ngekewa ! Yetu macho!!!!
Kabla ya kujadili tuambie mchezaji flop kwako unampima kwa takwimu zipi ili tusije tukawa tunajadili hoja na kitoto cha first yearLini tuanze kumjadili Cole palmer kwamba ni flop?? Ule msimu ilikuwa ngekewa ! Yetu macho!!!!
Niliwaambia pale hamna mchezaji na hapo bado kocha kampunguzia majukumu uwanjani🤣
Duh mamluki at workLini tuanze kumjadili Cole palmer kwamba ni flop?? Ule msimu ilikuwa ngekewa ! Yetu macho!!!!
Hao ni wototo wa Facebook wamevamia jukwaa. We uliona wapi comments za mwanaume zimejaa viemoji vya kujichekeshachekeshaDuh mamluki at work