Ukiangalia techinically hata zili mechi za liverpool ingekua draw, ya Man u Enzo angemalizia vizuri tunge chukua win ule mpira jackson alio mfanyia baada ya kusawazisha angeufunga tungekua 2-1, mechi ya Mancity pia ingekua draw tulicheza vizuri sanaa, tuli wa-contain tulishindwa kutumia nafasi mbili muhimu, kwasbb ya uchanga wa wachezaji wetu, in short ubora wa chelsea unarudi hivi karibuni.Napenda ulivyochambua
CFC tunaenda vizuri sana
Tumepoteza mechi 2 tu kwa timu zinazoongoza ligi
Arsenal ni title contender na wana wachezaji wazoefu kuliko sisi
Viraka tulizobakiza ni chache sana za kwenye defense na striker
Msimu wa 2025/26 tutatafutana sana, Man city ndio hiyo inajifia, Liverpool size yetu na Arsenal nguvu ya soda zitakuwa zimeisha. Sasa Chelsea inarudi kwenye enzi yake
Mimi sina shida na Maresca pamoja na Squad, wasiwasi wangu tu ni jinsi Maresca anavyomtreat Nkunku, mchezjai wa calibre ile unampa dk 10 tu huku Palmerjana hakuwa vizuri, Jackson kamezwa. Angefanya sub dk ya 50 waingie Nkunku na Felix
Covax, umeandika vizuri, vizuri sana na nakuunga mkono maeneo yote ila apo kwa madueke, kuna nini kimeongezeka kwenye uchezaji wa madueke ukiacha mechi ya Wolvehampton ile hattrick,?sizungumzii namba pekeake nazungumzia game yake kipi unaona kaimprove?Wengi ambao mulikua amfuatilie uchezaji wa CFC misimu mitatu nyuma mna haki ya kumbeza kocha wetu, kwasbabu hamjui hi timu hapo imefika je, kutoa draw na arsenal wakati ni title contender na iko kwenye ubora wake wa juu hayo ni matokeo mazuri sanaa kwa CFC.
Sasa hivi nime anza kuamini tunaweza hata kuchukua EPL msimu hu, possiblilities zetu zimepanda kutoka 20% wakati msimu unaanza na kwa 45% baada ya mechi 11 tu,
Tuna uwezo wakizifunga timu ndogo zote zilio bakia ila arsenal na liverpool hawataweza kuzifunga zote, tukiindelea vizuri tuna uwezo wa kuchukua Epl au kumaliza nyuma ya Mancity japo kikosi chetu bado kichanga ila vijana wanafundishika vizuri,
Angalia Neto sasa hivi ni first class player Madueke ni mzuri ni wachache mtakae muamini ila ni bonge la mchezaji Coicedo sasa anaanza kuelekea kua kama N'goro kante, Jackson anajitahidi kuongeza bidi hanguki anguki kama zamani ana defend anajua kujiposition analete tention katika defender wa timu kinzani nk.
Bigup the blues.....
Unaposema tusifananishe baca au liva kivipi, baca msimu uliopita si ilikua watu wanajipgia wanavyotaka, leo hii kiko wapi, na baca wachezaji karibia wote ni wadogo wasio hata na experence. Chelsea hii yenye wachezaji wa gharama kuliko hata hao baca tunajificha kwenye kichaka cha kujenga timu ni upuuzi.Wewe ndie unajipa mashaka, kama una clue na mpira huwezi linganisha hii Chelsea na Liverpool au Barca.
Chelsea inaimarika haraka kuliko hata tulivyotazamia
Mudueke kinacho mbeba zaidi ni ule uwezo wake wakuingia box ya timu pinzani, la pili 1v1 ni mzuri la tatu madueke anarudi nyuma haraka kutoa msaada la nne madueke anakasi ya counter attack, japo finishing yake ina kasoro sio clinical.Covax, umeandika vizuri, vizuri sana na nakuunga mkono maeneo yote ila apo kwa madueke, kuna nini kimeongezeka kwenye uchezaji wa madueke ukiacha mechi ya Wolvehampton ile hattrick,?sizungumzii namba pekeake nazungumzia game yake kipi unaona kaimprove?
Ww jamaa ni mbishi sana....Chelsea inajengwa...kumuhukumu kocha ni baada hata ya madirisha mawili ya usajili....jana binafsi mmenishangaza mlivyocheza sana....mmebadilika ila kutaka kocha alete ubingwa mwaka huu ni ndoto zako za mchana aisee.....acha ubishi Mkohoti....Unaposema tusifananishe baca au liva kivipi, baca msimu uliopita si ilikua watu wanajipgia wanavyotaka, leo hii kiko wapi, na baca wachezaji karibia wote ni wadogo wasio hata na experence. Chelsea hii yenye wachezaji wa gharama kuliko hata hao baca tunajificha kwenye kichaka cha kujenga timu ni upuuzi.
Hata kama bado timu inajengwa na pia sitarajii kubeba ubingwa mwaka huu, ila sisi sio wa kudroo na nyumbu shuuubamit.Ww jamaa ni mbishi sana....Chelsea inajengwa...kumuhukumu kocha ni baada hata ya madirisha mawili ya usajili....jana binafsi mmenishangaza mlivyocheza sana....mmebadilika ila kutaka kocha alete ubingwa mwaka huu ni ndoto zako za mchana aisee.....acha ubishi Mkohoti....
Nakushauri endelea kushabikia timu zetu hapa za Simba na Yanga ndo zenye fikra ya kufunga kila mechi bila kudraw au kufungwa wa kifungwa inakua nongwa, wachambuzi hondari kama wewe wanajitokeza kuuliza kwanini tumefungwa,Hata kama bado timu inajengwa na pia sitarajii kubeba ubingwa mwaka huu, ila sisi sio wa kudroo na nyumbu shuuubamit.
Hawa liva pia nao kocha wao si mpya mbona hawana huu umama wa kujenga timu.
Huwa mnasema EPL ngumu cjui laliga rahisi lakina hao hao laliga wakikutana na timu za EPL wanazifanya wanavyotaka, kila msimu UEFA wanachukua wao.Nakushauri endelea kushabikia timu zetu hapa za Simba na Yanga ndo zenye fikra ya kufunga kila mechi bila kudraw au kufungwa wa kifungwa inakua nongwa, wachambuzi hondari kama wewe wanajitokeza kuuliza kwanini tumefungwa,
CFC achana nao inafanya wonders kwasasa ku-draw na arsanal ambayo imejengwa kwa zaidi ya miaka 4 ni ushindi mkubwa sanaa epl sio la liga au bundasliga ambao timu zinazo dominant zina julikana hata zikiwa mbovu kiasi gani moja inaongoza nyingine inakua ya pili na ya tatu inajulikana,
Epl hata Brighton inaweza akaongoza ukizembea kama Leicity ilivo fanya 2016......kwa ufupi CFC anafanya vizuri sanaa inaweza hata kubeba Epl liver na Mancity wakiendelea kuteleza
Madueke ni mzuri kwenye 1v1 ila sio mzuri kwenye maamuzi na pia hajitumi saa nyingineCovax, umeandika vizuri, vizuri sana na nakuunga mkono maeneo yote ila apo kwa madueke, kuna nini kimeongezeka kwenye uchezaji wa madueke ukiacha mechi ya Wolvehampton ile hattrick,?sizungumzii namba pekeake nazungumzia game yake kipi unaona kaimprove?
Wadogo wa Barcelona wametokea kwenye academy kwa hiyo utamnaduni wa timu na ligi wamekulia hapo tofauti na sisi tumewaokota kule mbali na kuja kuwakusanya hapa na kuwabembeleza wazoea ligi ya Uingereza.Unaposema tusifananishe baca au liva kivipi, baca msimu uliopita si ilikua watu wanajipgia wanavyotaka, leo hii kiko wapi, na baca wachezaji karibia wote ni wadogo wasio hata na experence. Chelsea hii yenye wachezaji wa gharama kuliko hata hao baca tunajificha kwenye kichaka cha kujenga timu ni upuuzi.
Kwa namna mnavyosajili aisee kuwa hapo mmejitahidi....hii timu ya Sasa miaka 2 nyuma sidhani kama hata wachezaji watano walikuwepo.....almost wte ni wapya....kwhyo lazima kuteleza njiani kuwepo.... Liverpool ni tofauti kabisa...mgeni kocha tu pale....na hata hvyo wao pia sidhani kama Wana mbio ndefu....bdo adui mkubwa ni City.... Liverpool wanavyocheza kuna matobo kabisa nayaona kuanzia kwny midfield mpk kule nyuma....muda utaongeaHata kama bado timu inajengwa na pia sitarajii kubeba ubingwa mwaka huu, ila sisi sio wa kudroo na nyumbu shuuubamit.
Hawa liva pia nao kocha wao si mpya mbona hawana huu umama wa kujenga timu.
Yellow za madueke ndo ya kishanba sanaCollwil kama vile unapakatwa, ana yellow card za kijinga jinga sana
Hao madogo wa baca mbona msimu uliopita walikua wanacharazwa na utamaduni walikua wanaujua, kocha nae ana nafasi yake.Wadogo wa Barcelona wametokea kwenye academy kwa hiyo utamnaduni wa timu na ligi wamekulia hapo tofauti na sisi tumewaokota kule mbali na kuja kuwakusanya hapa na kuwabembeleza wazoea ligi ya Uingereza.
Average age ya first team ya Barcelona ni 24.4
Average age ya first team ya Chelsea ni 23.3
Ni kweli kocha ana nafasi kubwa sana kwenye performance ya timu na individual playerHao madogo wa baca mbona msimu uliopita walikua wanacharazwa na utamaduni walikua wanaujua, kocha nae ana nafasi yake.
Maresca ni kocha mzuri sema nae ana ukichaa flani hivi kichwani, ana wachezaji lakini cjui ni awaamini!!. Kuna Nkuku sioni sababu ya kukaa benchi kila mechi, kuna mechi angeanza pia.
Kuna Palmar ni mchezaji mzuri, ila kuna mechi anafichwa hasa big games anazurura tu uwanjani ila hafanyiwi sub, kuna Madueke ni utoto tu analeta ila kila mechi yumo shubaamit.