Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Nyie mmeridhika na matokeo ya mechi ya leo?
Si bora hata atumike James ndio anaiwezaHuu mfumo wa kulazimisha Gusto awe midfielder au winger wakati wa kushambulia ni useless ni mchezaji mbovu kwenye final third
Mimi mwenyewe sijaridhika aisee ,hii mechi dhidi ya Arsenyetoz ilikuwa ya kushinda ,ni aibu kutoa draw mechi kama hii ,hii mechi na ile ya nyumbu fc ,hapa tumeloose point nne ,ina maana tungeweza kuwa na points 24 na tungekaa juu ya city leoMimi binafsi bado sijaridhika na kuna vitu nimeviona nahisi vinaweza kuwa tatizo linalotufanya tusisonge mbele.
Team yetu inatengenezwa sio kama Arsenal, man city au Liverpool wao wameshajipata so hatuwezi kufanana nao na kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi team yetu katikati na mbele imeshakaa sawa bado kwenye defence tu na ndio maana kocha mara nyingi against big team huja na mfumo wa kubalance ili kulinda defence yetu isifanye makosa mengi na isifikiwe kirahisi ndo maana anapata draw but akija kujipata kwenye defence ndio utaona rangi yake halisiMuda mpka lini hizo draw ww unaziona nzuri
Hiyo ni jinsi wewe unavyoonaInasukwa nn sasa hapo na kiwa wa 3 nyuma ndio nni timu haina uhakika kwa matokea inabahatisha tu
Na tangu tumsajili hatujawahi kumuweka benchi. Kacheza mechi zote na hakucheza vizuri. Pumbaf sana yule dogoHavertz anajikuta nani eti anafunga goli na anashangilia darajani. Hiki kitu mimi kinanikera sana. Kwani tulimkosea nini huyu dogo?
Tumeridhika kwa sababu ni sehemu ya matokeo. Tulicheza na Title ContenderNyie mmeridhika na matokeo ya mechi ya leo?
Kikosi chetu bado kinajengwa kulinganisha na team kama Man city, Liverpool na Arsenal lazima uelewe hivyo kwanza so up down lazima tukutane nazo na kwa kiasi kikubwa team yetu imeshajipata katikati na mbele tatizo lipo kwenye defence na kocha analijua hilo na ndio maana against big team anaingia na ulinzi shirikishi ili iwasaidie safu yetu ya ulinzi kutokufanya makosa au kufikiwa kirahisi na opponent so kwa kutambua hilo kwangu naona ni matokeo fair kwetuNyie mmeridhika na matokeo ya mechi ya leo?
Ana mambo ya kifaler sana huyu dogo ! ,Sijui ni hasira za kuuzwa na kutenganishwa na pimbi mwenzake Mason Mount ?Havertz anajikuta nani eti anafunga goli na anashangilia darajani. Hiki kitu mimi kinanikera sana. Kwani tulimkosea nini huyu dogo?
Tatizo la kwanza Enzo anatakiwa kucheza, Lavia na Caicedo hawana jicho la kushambulia, wao wana jicho la kukaba tuMimi binafsi bado sijaridhika na kuna vitu nimeviona nahisi vinaweza kuwa tatizo linalotufanya tusisonge mbele.
Kwasababu aliondoshwa kwa kutokupendaHavertz anajikuta nani eti anafunga goli na anashangilia darajani. Hiki kitu mimi kinanikera sana. Kwani tulimkosea nini huyu dogo?
Wewe ndio umesahau malengo yetu. Sisi sio Title Contender, matokeo haya ni mazuri sana kwa malengo tuliojiwekea. Bado timu inasukwa na vi9jan a wanakomaa na kupata matokeo. Kuna mashabikli wa Chelsea wenye viherehere eti na sisi tugombe kuchukua ubingwa, N dio maana kwa sasa mnaumizwa na hizi sare. Arsenal ndio wao waumie kwa sababu wao ni Title Contender na akina Man cityMnajua tofauti ya points kati yenu namba 3 na aliyrpo nafasi ya 10 ? Mnachekela ujinga tu ,,,, ! Mkidraw mechi moja tu mnaangukia mbali kabisa huko
Hivi Sancho ni majeruhi ? , na hawezi cheza ile wing ya Madueke ?madueke sioni improvement yoyote pamoja na kuaminiwa sana na mwalimu, iyo 1v1 yenyew ambayo ndo silaha yake kuu bado siioni
Kuna mashabiki wengine sio walikuwa hawaifuatilii timu. nadhani hata hawajui kuwa hii timu ilishauzwa, No clue at allTeam yetu inatengenezwa sio kama Arsenal, man city au Liverpool wao wameshajipata so hatuwezi kufanana nao na kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi team yetu katikati na mbele imeshakaa sawa bado kwenye defence tu na ndio maana kocha mara nyingi against big team huja na mfumo wa kubalance ili kulinda defence yetu isifanye makosa mengi na isifikiwe kirahisi ndo maana anapata draw but akija kujipata kwenye defence ndio utaona rangi yake halisi