Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,368
- 8,407
Ukimchunguza vizuri Sanchez lile goal keeper lenu kuna saa nati zinaachia kichwani anasema km goalie
Sahihi, Nafikiri pia pengine kukosekana kwa sancho na form isiyotabirika ya Mudryk inafanya kocha akose option inabidi tu aende na MaduekeMudueke kinacho mbeba zaidi ni ule uwezo wake wakuingia box ya timu pinzani, la pili 1v1 ni mzuri la tatu madueke anarudi nyuma haraka kutoa msaada la nne madueke anakasi ya counter attack, japo finishing yake ina kasoro sio clinical.
kocha alisema anahitaji winga mwenye uwezo wa kuingia box na kufunga sio kutoa assist tu.......ila Sacho hawezi kuingia box anatoa cross tu, ambazo haziko accurate.....kwahiyo mbadala wa madueka kwa 100% bado haupo kwa sasa, anahitajika mtu kama williani madueka angalau anamfikia kwa 55%
Ila nafundishika majivuno yamepugua atafanya vizuri tumpe dakika zaidi iko 21yrs tu.
ndo tatizo lake kubwa, mara nyingi maamuzi yake ni yamezungukwa na ubinafsi, uzuri kuna kina Estevao Willian na Kendry Paez, ni suala la muda tu.Madueke ni mzuri kwenye 1v1 ila sio mzuri kwenye maamuzi na pia hajitumi saa nyingine
Liva gari limeshawaka mjomba usitegemee atapoteza kizembe. City mpk Rodri arudi ndio wataweza kupambana.Kwa namna mnavyosajili aisee kuwa hapo mmejitahidi....hii timu ya Sasa miaka 2 nyuma sidhani kama hata wachezaji watano walikuwepo.....almost wte ni wapya....kwhyo lazima kuteleza njiani kuwepo.... Liverpool ni tofauti kabisa...mgeni kocha tu pale....na hata hvyo wao pia sidhani kama Wana mbio ndefu....bdo adui mkubwa ni City.... Liverpool wanavyocheza kuna matobo kabisa nayaona kuanzia kwny midfield mpk kule nyuma....muda utaongea
Kwahiyo chief unashauri tuletewe kocha mwingine?Liva gari limeshawaka mjomba usitegemee atapoteza kizembe. City mpk Rodri arudi ndio wataweza kupambana.
Hawa wachezaji wa chelsea wamecheza msimu mmoja pamoja wanakuaje wageni. Ni akili ya mwalimu tu kuwaunganisha. Kama alivyofanya slot.
Maresca amekariri lazima kwnye lineup kuwe na wachezaji wa 1v1, halafu mchezaji mwenyewe sasa hahahaha...... eti Madueke!!! si ujinga huo. Wenzetu wana akina Salaha,Saka 1v1 halafu inatolewa pass ya kiwango, huku kwetu Madueke mi mbio tu bila akili ndio tunaambiwa mzuri wa 1v1 kha!
Kama vipi tuletewe 20Hag tu.Kwahiyo chief unashauri tuletewe kocha mwingine?
Livakuku bdo sana aisee....ikifika mwezi wa pili na margin ya point akiwa nayo ni at least point 6 then ntakuambia Wana nafasi kubwa ila so far mpk Sasa bdo sana....ujinga wa EPL ukipata matokeo mabaya mechi 2 tu....Hali ya hewa inachafuka kabisaLiva gari limeshawaka mjomba usitegemee atapoteza kizembe. City mpk Rodri arudi ndio wataweza kupambana.
Hawa wachezaji wa chelsea wamecheza msimu mmoja pamoja wanakuaje wageni. Ni akili ya mwalimu tu kuwaunganisha. Kama alivyofanya slot.
Maresca amekariri lazima kwnye lineup kuwe na wachezaji wa 1v1, halafu mchezaji mwenyewe sasa hahahaha...... eti Madueke!!! si ujinga huo. Wenzetu wana akina Salaha,Saka 1v1 halafu inatolewa pass ya kiwango, huku kwetu Madueke mi mbio tu bila akili ndio tunaambiwa mzuri wa 1v1 kha!
Ukimnukuu mtu alafu ukatafsiri unaharibu uhondo pamoja na maudhui kwa ujumla,,,,,, ! Ujumbe halisia unaweza usifike kwa mlengwa/hadhira ! Bora uelezee tu kwa summary alichokisema lakini sio nukuu !
Madueke apigwe benchi , anaanza kuota mapembe , ufather ndani ya timu ni usenge ,hiyo nafasi yake anaweza cheza Felix ,Mudyk ,nEto ,Palmer hata nkuku ,tuna Lundo la wachezaji wanatafuta number yeye anajiona Mungu mtu ,falerBREAKING: Mwisho wa Madueke Umefika
Enzo Maresca alihutubia wanahabari, akielezea wasiwasi wake kuhusu mtazamo wa Noni Madueke.
"Natarajia wachezaji kuwa wa taaluma wakati wa kubadilishwa, lakini hasira ya Madueke haikukubaliki hata kidogo" Maresca alisema. "Ni dharau kwangu na kwa klabu."
Maresca alisisitiza kwamba wachezaji lazima watambue mipaka yao. "Ikiwa haufanyi vizuri, huwezi kutarajia kucheza dakika 90."
Meneja alidokeza uwezekano wa mabadiliko ya nafasi, akitoa mfano wa ushindani kutoka kwa wachezaji wengine. "Nafasi asilia ya Pedro Neto iko upande wa kushoto, na Jadon Sancho yuko kulia. Tutatathmini upya baada ya mapumziko ya kimataifa."
Je, una maoni gani kuhusu maoni ya Maresca The Blues?
Kocha katoa hint kwamba atacheza Sancho na Neto kuliaMadueke apigwe benchi , anaanza kuota mapembe , ufather ndani ya timu ni usenge ,hiyo nafasi yake anaweza cheza Felix ,Mudyk ,nEto ,Palmer hata nkuku ,tuna Lundo la wachezaji wanatafuta number yeye anajiona Mungu mtu ,faler
Madueke asiwekwe hata benchi bali abaki uwanja wa mazoezi afyeke nyasi.BREAKING: Mwisho wa Madueke Umefika
Enzo Maresca alihutubia wanahabari, akielezea wasiwasi wake kuhusu mtazamo wa Noni Madueke.
"Natarajia wachezaji kuwa wa taaluma wakati wa kubadilishwa, lakini hasira ya Madueke haikukubaliki hata kidogo" Maresca alisema. "Ni dharau kwangu na kwa klabu."
Maresca alisisitiza kwamba wachezaji lazima watambue mipaka yao. "Ikiwa haufanyi vizuri, huwezi kutarajia kucheza dakika 90."
Meneja alidokeza uwezekano wa mabadiliko ya nafasi, akitoa mfano wa ushindani kutoka kwa wachezaji wengine. "Nafasi asilia ya Pedro Neto iko upande wa kushoto, na Jadon Sancho yuko kulia. Tutatathmini upya baada ya mapumziko ya kimataifa."
Je, una maoni gani kuhusu maoni ya Maresca The Blues?
Mi naomba kujua ni balance gani inakosekana wakicheza wote watatu?, halafu kuna kitu Maresca kinampita, akikosekana Enzo inasababisha Palmar kuwa mzururaji, Palmar akiwa mzururaji inapelekea pia Jackson na Madueke wote kua wazururaji pia.Asalimia kubwa ya makocha waliokuja miaka ya karibuni, wanapoanza kazi kitu cha kwanza wanajitahidi wasipoteze mechi.
Bora kwao watoe draw kuliko kufungwa. Wanaamini THE BLUES kibarua kinakuwa salama kwa kutokufungwa ovyo.
Maresca sasa hivi anajihami sana tofauti na mwanzo. Hiyo balance anayoitafuta kikosini ni ya kujihami kutofungwa kuliko kufunga zaidi
Miaka ya nyuma kuna bus la kampuni ya Ngorika lilikuwa linafanya safari zake Arusha - Tanga, haloo hayo mapazia dirishani ukubwa wake ni zaidi shuka la kitanda cha 6×6Mi naomba kujua ni balance gani inakosekana wakicheza wote watatu?, halafu kuna kitu Maresca kinampita, akikosekana Enzo inasababisha Palmar kuwa mzururaji, Palmar akiwa mzururaji inapelekea pia Jackson na Madueke wote kua wazururaji pia.
Wanacheza Caicedo na Lavia bado tunafungwa tu kirahisi, nyuma kuna pazia la ngorika 🤣🤣🤣🤣
Miaka ya nyuma kuna bus la kampuni ya Ngorika lilikuwa linafanya safari zake Arusha - Tanga, haloo hayo mapazia dirishani ukubwa wake ni zaidi shuka la kitanda cha 6×6
Mi naomba kujua ni balance gani inakosekana wakicheza wote watatu?, halafu kuna kitu Maresca kinampita, akikosekana Enzo inasababisha Palmar kuwa mzururaji, Palmar akiwa mzururaji inapelekea pia Jackson na Madueke wote kua wazururaji pia.
Wanacheza Caicedo na Lavia bado tunafungwa tu kirahisi, nyuma kuna pazia la ngorika 🤣🤣🤣🤣
Noni Madueke vs Greece:Madueke apigwe benchi , anaanza kuota mapembe , ufather ndani ya timu ni usenge ,hiyo nafasi yake anaweza cheza Felix ,Mudyk ,nEto ,Palmer hata nkuku ,tuna Lundo la wachezaji wanatafuta number yeye anajiona Mungu mtu ,faler