lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,489
Basi amchape viboko ili acheze vizuri maana karidhika na ile hatrick ya Wolves hadi msimu ujao wakati Estevao Willian na Kendry PaezNimesoma chief kumtoa Madueke kikosini na kumpanga Enzo ndio kucheza pungufu huko. Maresca anapenda kuwapanga mawinga wa one v one. Hawezi kumweka Madueke benchi