Wengi ambao mulikua amfuatilie uchezaji wa CFC misimu mitatu nyuma mna haki ya kumbeza kocha wetu, kwasbabu hamjui hi timu hapo imefika je, kutoa draw na arsenal wakati ni title contender na iko kwenye ubora wake wa juu hayo ni matokeo mazuri sanaa kwa CFC.
Sasa hivi nime anza kuamini tunaweza hata kuchukua EPL msimu hu, possiblilities zetu zimepanda kutoka 20% wakati msimu unaanza na kwa 45% baada ya mechi 11 tu,
Tuna uwezo wakizifunga timu ndogo zote zilio bakia ila arsenal na liverpool hawataweza kuzifunga zote, tukiindelea vizuri tuna uwezo wa kuchukua Epl au kumaliza nyuma ya Mancity japo kikosi chetu bado kichanga ila vijana wanafundishika vizuri,
Angalia Neto sasa hivi ni first class player Madueke ni mzuri ni wachache mtakae muamini ila ni bonge la mchezaji Coicedo sasa anaanza kuelekea kua kama N'goro kante, Jackson anajitahidi kuongeza bidi hanguki anguki kama zamani ana defend anajua kujiposition analete tention katika defender wa timu kinzani nk.
Bigup the blues.....