Digo zee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 661
- 1,348
Santos ni malı ✅✅✅Andrey Santos mchezaji wetu wa mkopo aliyepo Strasbourg anawashamoto kweli huko Ligue 1. Leo kaweka kambani mawili akiisaidia timu yake kupata ushindi wa goli 3-1. Bila kusahau golini yupo mchezaji wetu (Petrovic) ambaye naye yupo kwa mkopo hapohapo na anaanza kila mechi.