Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

January tumchukue Viktor Gyokeres huyu ndio mchezaji wa kucheza Chelsea sio hao matakataka.
Kwa Sanchez nakuunga mkono anatufelisha sana.

Jackson - anazidi kuimarika kwenye finishing, misimu 2 au 3 ijayo atakuwa bonge la mfungaji. Kwa sasa aendelee kubabua makipa

Madueke - Kuna msemo unasema "Tabia yake ndio sababu" mchezaji mzuri anatakiwa acheze kitimu aache ujuaji, majivuno na ubinafsi.

Fofona - Back from injury tumpe muda.

Felix - Mchezaji boss. Acheze mpira aache uboss uwanjani. Kijana ana kipaji kikubwa.

Enzo - Pesa nane anachanganya role yake uwanjani.

Kiufupi wachezaji uliowataja Sanchez ndio takataka, hao wengine ni kuendelea kujiboresha kiuchezaji na kitabia. Wasipobadilika tunaendelea kusajili mashine za kazi kuchukua nafasi zao.
 
Hujui jinsi tulivyo na bahati kuwa na meneja ambaye ana mbinu na pia anachukua muda wake binafsi kuwafundisha wachezaji mmoja mmoja hadi aelewe.

Tumemwajiri kocha tu wakawaida na sasa amegeuka kuwa wadhaman kuliko makocha wenye majina ambao tulikuwa tukiwafikiria. Kocha mnyenyekevu hadi kwa wamiliki naona amefit kila sehem,eu. Msimu huu hatutasikia tena zile vurugu za kocha na wamiliki au na SD.

Wachezaji wameimarika na dhamani zao zinapanda, timu na thamani ya soko pia imeboreka.

Ninaona zile hadithi na kelele za Mauricio Pochettino zimekufa kifo cha mende tayari. Kulikuwa na mashabiki wengi waliobeza usajili wa Maresca wakisema kwamba hana uzoefu katika ligi za heavyweight kama EPL, kwamba ni rigid na si kocha wa mbinu.

Kwangu, naona vibe na ladha ya PEP Guardiola. Tuna bahati sana kuwa naye na kwa mafanikio tuliyoyapata tayari.

View attachment 3134764
Unasema mafanikio tuliyopata tayari. Hadi dk hii tuna mafanikio ghani?
Our future is bright kwa namna tunavyocheza. Tuna jiamini na tunacheza soka la burudani haswa.
 
Kwa Sanchez nakuunga mkono anatufelisha sana.

Jackson - anazidi kuimarika kwenye finishing, misimu 2 au 3 ijayo atakuwa bonge la mfungaji. Kwa sasa aendelee kubabua makipa

Madueke - Kuna msemo unasema "Tabia yake ndio sababu" mchezaji mzuri anatakiwa acheze kitimu aache ujuaji, majivuno na ubinafsi.

Fofona - Back from injury tumpe muda.

Felix - Mchezaji boss. Acheze mpira aache uboss uwanjani. Kijana ana kipaji kikubwa.

Enzo - Pesa nane anachanganya role yake uwanjani.

Kiufupi wachezaji uliowataja Sanchez ndio takataka, hao wengine ni kuendelea kujiboresha kiuchezaji na kitabia. Wasipobadilika tunaendelea kusajili mashine za kazi kuchukua nafasi zao.
Jackson hakuna kitu
 
Mbona nasikia usajili wa Victor Osmeh ni unfinished business. Mabosi wanamtaka
Osimhen ana heavy touch. Hatufai kwa philosophy tunayoitaka cha maana ni nguvu na shooting strength
Huyu kwa timu zinazopark bus atakuwa ni Lukaku v2
Striker ya Sporting Lisbon ndio only option kama tunataka Striker wa kuingia moja kwa moja kwenye mfumo
 
Sio kila kitu ni chakuweka public kwenye issue sensitive kama hii alipaswa kuongea nae privacy cos inaweza kasababisha wachezaji wenzake wawe na sauti juu yake
Kuna vitu kocha akiviogopa vitamsumbua huko mbeleni, kocha hatakiwi kuwaogopa wachezaji mana wachezaji wakishajua unawaogopa watakua wanachafua dressing room hat kw kitu kidogo, ila ukionyesha msimamo watakuheshimu. Soo kocha yupo sahihi atakaechafua anaonyeshwa mlango haijalishi ww ni mchezaji gani,kama Pep tu au Arteta
 
Confirmed line up vs Newcastle
1000056931.jpg
 
Confirmed Line up against Newcastle

--------------Jackson----------------

Neto ---------Palmer------------Madueke

---------Lavia----------Caicedo---------

Gusto------Colwill-----Fofana-------James

---------------Sanchez------------------

Bench:
  1. Jorgensen
  2. Tosin
  3. Veiga
  4. Cucurella
  5. Enzo
  6. Mudryk
  7. Sancho
  8. Felix
  9. Nkunku
 
Tuna kadi nyingi za njano lakini zisizo na faida, wachezaji hawajui wapi wacheze faulo kuzuia counter attack
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom