Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona soon tutaanza kupata kitu kutoka kwa huyu kijana, kuna kitu kimeongezeka kwenye uchezaji wake
1729823968968.png
 
Joao Felix hatokuja kuanza first eleven kwa aina ya uchezaji wake anacheza kifather mno alafu hawezi kumaliza dk 90. Kuhusu Mudryk niliwaambia kwa aina ya soka la Enzo Maresca unamfit moja kwa moja Mudryk taratibu ataanza kurudi kwenye ubora wake na ndicho kinaonekana sasa.
hata mimi naona hivyo kwa Joao Felix. game lake ni laini mno. Joa Felix anahitaji azungukwe na wachezaji wazuri sana kwenye kupress ndipo utakapoona uzuri wake. Felix ni mzuri kwenye kudrible na kufunga ila ni rahisi kuacha kukocentrate kwenye mpira na ku8nyang'anywa mipira kilaini mno.

Kuhusu Mudryk ile ni lulu iliyochafuliwa na Pochettino sasa Maresca anaisafisha na inarudi kwenye uzuri wake
 
Hujui jinsi tulivyo na bahati kuwa na meneja ambaye ana mbinu na pia anachukua muda wake binafsi kuwafundisha wachezaji mmoja mmoja hadi aelewe.

Tumemwajiri kocha tu wakawaida na sasa amegeuka kuwa wadhaman kuliko makocha wenye majina ambao tulikuwa tukiwafikiria. Kocha mnyenyekevu hadi kwa wamiliki naona amefit kila sehem,eu. Msimu huu hatutasikia tena zile vurugu za kocha na wamiliki au na SD.

Wachezaji wameimarika na dhamani zao zinapanda, timu na thamani ya soko pia imeboreka.

Ninaona zile hadithi na kelele za Mauricio Pochettino zimekufa kifo cha mende tayari. Kulikuwa na mashabiki wengi waliobeza usajili wa Maresca wakisema kwamba hana uzoefu katika ligi za heavyweight kama EPL, kwamba ni rigid na si kocha wa mbinu.

Kwangu, naona vibe na ladha ya PEP Guardiola. Tuna bahati sana kuwa naye na kwa mafanikio tuliyoyapata tayari.

1729845262104.png
 
View attachment 3134764
Alafu amemchana Reece James kamwambia anategemea zaidi na anachofanya kwenye leadership
 
Maresca amedai Chelsea kwa sasa haina kiongozi thabiti
Hii ina maana Reece James ameshindwa kutekeleza majukumu yake vizuri kama kapteni na pia akina Enzo pia wameshindwa
Amemtaja Colwill kuwa ndie kwa sasa anaelekea kuisemea timu vizuri. Pia kawataja Tosin na Cucurella
Sijui hili litaleta madhara gani kwenye timu ukichukulia maanani sasa Reece James ndio ametoka kitandani anatafuta form yake na kurudi kwenye majukumu yake kama kiongozi?

Baadhi ya nukuu kutoka kwa Enzo Maresca

"Unapokuwa huna kiongozi anayefaa, unahitaji kujenga hilo. Nadhani hatuna kiongozi anayefaa kwa sasa."
"Tosin na Cucurella ni mmoja wa watu, kwa hivyo tunahitaji zaidi na zaidi"
"Anayefanya vizuri katika jukumu hili la uongozi ni Levi, tunahitaji kujenga hiyo"
"Yeye [James] anaendelea, lakini nilitarajia zaidi kutoka kwake katika suala la uongozi"

1729922666346.png
1729922631676.png
1729922648865.png

1729922778326.png
 
Asije akachafua hali ya hewa maana hizi issues za open criticism huwa zinaharibu hali ya hewa changing room na kuvuruga wachezaji pale Chelsea .
Imetokea mara kibao Tangia enzi za Mourinho .
Hiki kitu awe nacho makini sana huyu jamaa
 
Maresca amedai Chelsea kwa sasa haina kiongozi thabiti
Hii ina maana Reece James ameshindwa kutekeleza majukumu yake vizuri kama kapteni na pia akina Enzo pia wameshindwa
Amemtaja Colwill kuwa ndie kwa sasa anaelekea kuisemea timu vizuri. Pia kawataja Tosin na Cucurella
Sijui hili litaleta madhara gani kwenye timu ukichukulia maanani sasa Reece James ndio ametoka kitandani anatafuta form yake na kurudi kwenye majukumu yake kama kiongozi?

Baadhi ya nukuu kutoka kwa Enzo Maresca

"Unapokuwa huna kiongozi anayefaa, unahitaji kujenga hilo. Nadhani hatuna kiongozi anayefaa kwa sasa."
"Tosin na Cucurella ni mmoja wa watu, kwa hivyo tunahitaji zaidi na zaidi"
"Anayefanya vizuri katika jukumu hili la uongozi ni Levi, tunahitaji kujenga hiyo"
"Yeye [James] anaendelea, lakini nilitarajia zaidi kutoka kwake katika suala la uongozi"

View attachment 3135531View attachment 3135529View attachment 3135530
View attachment 3135532
Kwa kweli hili kocha kakosea kuna mambo mengine mnamalizana uko uko sio yakupeleka public
 
Nyie mlisema Maresca huwa harembi penye ukweli anasema ukweli. Leo mnaanza kusema kakosea wakati kasema ukweli captain muda wote yupo kitandani na hata akicheza anaweka ndizi kisukari mdomoni haongei wala kutoa maelekezo kwa wenzake. Kocha yupo sahihi kabisa kuongea public.
 
Sio kila kitu ni chakuweka public kwenye issue sensitive kama hii alipaswa kuongea nae privacy cos inaweza kasababisha wachezaji wenzake wawe na sauti juu yake
 
Nakuuunga mkono kwa 💯% mnataka mwalimu asemeje mbona PEP anaongea ukweli hadharani na hakuna kinachotokea JEMS Hafai hata kidgo tena asilete UNDEWA wake atapigwa mkeka mpka uchanike
 
Unajua kulea lea toto ki mayai mayai ndio yanaleta migomo hivyo akiona hapamfai atoke atafute timu kwa pacha kibao
Mie naungana kabisa na ENZO kama vip atoke hana namna ya kusemea chumbani kwani ni nyaraka za SERIKARI HAPANA KMA LEV ANAFAA APEWE NA COCU APEWE JEMSI NEXT WEE WODINI NAMBA 7
 
Hans Flick ni bonge la kocha, tulifanya upuuzi kuto kumchukua huyu kocha.
 
Ndio maana mimi huwa nasema wazi hapa hapa bila kuogopa kitu kama takataka Maresca alivyo mchana bila kupepesa captain wetu James. Mimi nasema tena Enzo, Madueke, Jackson, Fofana, Sanchez, Felix hawa ni matakataka yaliyo jiozea hayafai kuchezea katika klabu ya Chelsea.
Nyie mlisema Maresca huwa harembi penye ukweli anasema ukweli. Leo mnaanza kusema kakosea wakati kasema ukweli captain muda wote yupo kitandani na hata akicheza anaweka ndizi kisukari mdomoni haongei wala kutoa maelekezo kwa wenzake. Kocha yupo sahihi kabisa kuongea public.
 
Robert Sachez ni kipa bora kuliko Andrily Lunin
Real Madrid pale hawana kipa kabisa
 
Ndio maana mimi huwa nasema wazi hapa hapa bila kuogopa kitu kama takataka Maresca alivyo mchana bila kupepesa captain wetu James. Mimi nasema tena Enzo, Madueke, Jackson, Fofana, Sanchez, Felix hawa ni matakataka yaliyo jiozea hayafai kuchezea katika klabu ya Chelsea.
Kwa Sanchez nakuunga mkono anatufelisha sana.

Jackson - anazidi kuimarika kwenye finishing, misimu 2 au 3 ijayo atakuwa bonge la mfungaji. Kwa sasa aendelee kubabua makipa

Madueke - Kuna msemo unasema "Tabia yake ndio sababu" mchezaji mzuri anatakiwa acheze kitimu aache ujuaji, majivuno na ubinafsi.

Fofona - Back from injury tumpe muda.

Felix - Mchezaji boss. Acheze mpira aache uboss uwanjani. Kijana ana kipaji kikubwa.

Enzo - Pesa nane anachanganya role yake uwanjani.

Kiufupi wachezaji uliowataja Sanchez ndio takataka, hao wengine ni kuendelea kujiboresha kiuchezaji na kitabia. Wasipobadilika tunaendelea kusajili mashine za kazi kuchukua nafasi zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom