Hivi unaona namna man city wanavyostruggle kukosa huduma yakeRodri hakustahili tuzo ya Ballon d'Or kulingana na vigezo vya tuzo hiyo. Hata si mchezaji bora wa Mancity, si mchezaji bora wa EPL, si mchezaji bora wa Hispania, Hakuiwezesha Man City kushinda UEFA Champion League. Tuzo hii ingeenda kwa mchezaji kama Dani Carvajal, ningeweza kuelewa mantiki.