Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 666
- 1,234
THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe bingwa wa dunia ameshinda mechi.
Leo Madueke kazingua sanaCole Palmer EPL Stats in 24/25
Matches =9
Goals =7
Assists = 5
G/A = 12
Nicolas Jackson EPL Stats in 24/25
Matches =9
Goals = 6
Assists = 3
G/A = 9
Noni Madueke EPL Stats in 24/25
Matches = 9
Goals = 4
Assists = 0
G/A = 4
Kwa upande wangu Man of the match nampa James katuokoa mara tatu kufungwa na apokonya mipira mara nyingiHongereni The Blues. Ushindi mzuri sana. Na zaidi ya ushindi, timu yetu inaimarika siku hadi msiku, wiki ahdi wiki na balance ya timu inazidi kuwa nzuri
Mchezaji pekee ambaye hakucheza vizuri leo ni Robert Sanchez. pasi zake karibia zote ndefu zimepotea. Kama tungepoteza hii mechi leo angelaumiwa sana.
James ameongeza balance kubwa kwenye defense
Kuwa na Lavia mzima ni sadaka pekee kwenye midfield yetu na pivot yake na Caicedo naona inaipa timu balance japo baada ya kuchoka kiungo ilipwaya hadi alipoingia Enzo
Sina neno juu ya Jackson, kila aliyetazama mpira ameona ubora wake kwenye kuhold mpira na kuucheza anavyotaka yeye
Gusto amejitahidi sana kuinvert kule mbele ila hawezi kabisa kulenga goli. Inabidi afanyie mazoezi makubwa jinsi ya kupiga mashuti golini.
Neto ameimarika ila bado sana, faida yake kubwa ni mbio tu
Nkunku anahitaji kupewa dakika nyingi zaidi angalau 30
Palmer = MOTM
Leo Madueke kazingua sana
Madueke ni mzinguaji siku zote, ni vile mahaba yakishazid huwezi kuona.Leo Madueke kazingua sana
Vipi mchezaji wako Joao Felix?Madueke ni mzinguaji siku zote, ni vile mahaba yakishazid huwezi kuona.
Kinachompa number Sanchez ni mahaba tu ya kocha hakuna lingineSio kwamba leo kazingua, Madueke ni takataka kila uchwao nawambia hapa. Ipo siku mtaelewa tu, umeona upumbavu wa golikipa wako?
Isak goal = Goli la mchongo.Kuna mda waamuzi kama wanatunyonga sana Nikiangalia goal la Isak,Merino haya yote yamekubaliwa ila La Palmer lilikataliwa.
Felix ni talented ila ni mvivu inamfanya na yeye kuwa takataka pia, Madueke sio talented na ni takataka.Vipi mchezaji wako Joao Felix?
Palmer akaze abebe kiatu huu msimu , akiendeleza huu moto ,hamna Kenge wa kumchallenge kwenye kiatu pale Epl