Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kutetea matakataka uko vizuri sana.
Uchezaji wa Madueke ndio Maresca anaupenda, Ana uchezaji wa kuwapeleka mchakamchaka LB yeyote wa timu pinzani. Akijitambua tu halafu akaekewa akili 1% ya Palmer atakuwa RW mzuri
 
Maxime Lestienne kwenye moja na mbili, hatari sana.
20241028_114014.jpeg
20241028_113951.jpeg
 
Tia neno kwenye hii pasi ya Cole Palmer kwenda kwa Pedro Neto inayodhaniwa kuwa pasi bora ya msimu
Cole Palmer adai yeye na Neto waliongea kabla ya mechi
"Kiukweli nilijua jinsi gani yeye [Neto] alivyo na spidi hivyo nilivyomwona anakimbia mimi nilipeleka mpira kwenye njia yake tu:"

View attachment 3137800
NEto pasi kaitoa kwa wakati sana, kama ya Nunez kw Salah, angekua ndio Madueke akili mirasta sasa! Dah!.......
 
Rodri hakustahili tuzo ya Ballon d'Or kulingana na vigezo vya tuzo hiyo. Hata si mchezaji bora wa Mancity, si mchezaji bora wa EPL, si mchezaji bora wa Hispania, Hakuiwezesha Man City kushinda UEFA Champion League. Tuzo hii ingeenda kwa mchezaji kama Dani Carvajal, ningeweza kuelewa mantiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom