Kukosekakana kwake hakufanyi team ikose muunganiko mbona melo Gusto anacheza vizuriYule ni mtumishi hewa mechi zake tano anarudi kitandani. Shida sio kuingia. Shida ni pindi anapotoka. Unakuta timu inakua imeshaelewana mara paa injury tunaanza tena moja kutafuta muunganiko. Sa si bora tuwe na mchezaji ambaye gari likishawaka anawaka nalo, Unamtetea tu mchezaji gani wa MOI kila siku.