Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,193
Nitaangalia mpira kwa amani leo. Midfield ya Lavia na Caicedo inanipa utulivu wa moyo.
Kila la kgeri the Blues. KTBFFH🔵🔵🔵
Kila la kgeri the Blues. KTBFFH🔵🔵🔵
Kabisa nakubaliana na wewe kocha kamuamini sancho kupita kiasi nimeona hata kwenye sub hayupoHii game ilikuwa inamfaa sana Mudrky, Sancho anazingua
Sancho Yuko slowKabisa nakubaliana na wewe kocha kamuamini sancho kupita kiasi nimeona hata kwenye sub hayupo
Madueke so far ndiye mchezaji bora Chelsea, Roberston anahenyeshwa huko. Muwe mnafuatilia mpira acheni kuja na ukariri wa mashairi na ngonjera za zilipenbdwaKikosi kizuri sana, sema kule mbele takataka Madueke aache utoto. Kwenye kutoa pasi atoe kwa wakati na asiwe mchoyo, hii game ya leo muhimu sana tutoke na pointi tatu.
Nadhani Mudryk alikuwa anafaaa kwa hii mechi ,ngoja tuone option ipi kocha atakuja nayo
Salah ameshatumbukiza dudu hukuNadhani Mudryk alikuwa anafaaa kwa hii mechi ,ngoja tuone option ipi kocha atakuja nayo
Kabisa nakubaliana na wewe kocha kamuamini sancho kupita kiasi nimeona hata kwenye sub hayupo
Madueke so far ndiye mchezaji bora Chelsea, Roberston anahenyeshwa huko. Muwe mnafuatilia mpira acheni kuja na ukariri wa mashairi na ngonjera za zilipenbdwa