Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nottingham forest??🤠🤠🤠....wale Sasa ndo level yenu mkuu....ukishafika mwezi wa 12 huko ndo utanielewa nnachomaanisha pale mtakapokuwa mnagombania nao nafasi zenu pendwa za 10 na 11....Liverkuku walikumbushwa tu kwmba wajenge timu waachane na wafukuza upepo....siku tukikutana na hao madogo ntaku tag kukumbusha kwmba nott forest ni watoto wadogo sana kwa namna tutakavyowatoa manundu
Haaahaaaa🤣🤣 hamna shida utakavyobinuliwa na hawa watoto na boko haram football yenu ntakutag pia
 
Labda miaka 5 mbeleni jirani....bdo mna kikundi cha jogging hapo darajani sio timu ya mpira🤠🤠
Tukikutana naninyi ,siku hiyo bora msiingize hicho kikundi chenu cha ngoma uwanjani ...
Madueke atakuwa Messi siku hiyo ,huku Sancho ,huku Palmer😄😄😄😄😄😄
Tutawashushia dozi nzito kama zile tulizokuwa kuwa tunawatqanfa enzi na Mourinho miaka ile

Arsenyetoz watoto wadogo sana
 
Mechi na Forest, Enzo ameongoza kwa kufanya recovery nyingi. Na kila mechi Enzo anafanya kazi ambayo wengi hawaioni ila inapotokea kakosea moja tu, anashikiliwa hapo
Humu nilichogundua wengi ni wanaangalia stats ila uwanjani hatuangalia Enzo analeta nini siku akiwa hayupo unaona kabisa utofauti .

Lait kama Pre Assist zinngekuwa zinahesabika basi sahiv tungekuwa tunamtaja sana

Enzo akiwa hayupo utofauti wa kukaa na mpira unaonekana

Enzo anaweza kuwa na game mbaya dhidi ya forest ila humu nikama tumezidisha tunasema game zote wakat sio kweli
 
Nottingham forest??🤠🤠🤠....wale Sasa ndo level yenu mkuu....ukishafika mwezi wa 12 huko ndo utanielewa nnachomaanisha pale mtakapokuwa mnagombania nao nafasi zenu pendwa za 10 na 11....Liverkuku walikumbushwa tu kwmba wajenge timu waachane na wafukuza upepo....siku tukikutana na hao madogo ntaku tag kukumbusha kwmba nott forest ni watoto wadogo sana kwa namna tutakavyowatoa manundu
Hivi kwa nini watu huwa hamtaki kuappreciate tunachofanya? Mnahisi tumebahatisha

Angalien stats za toka mwaka huu umeanza performanc ya team ikoje.
 
Madueke sio mnyimi kivile, saa nyingine anakuwa mkarimu
Ila Palmer ni mchezaji kutoka sayari nyingine, Sijui huwa anafikiria nini anapokuja na mbinu mpya kila mechi. Hili goli lingingia lingezua gumzo kubwa katika dunia ya spoti

 
Usajili wa Enzo Maresac na Cole Palmer ni uthibitisho mkubwa kwamba biashara hii ya usajili ni kama kamari na hakuna ambaye angefikiria kwamba sajili hizi mbili zngeweza kuisaidia Chelsea kubadilika kiasi hiki.

Wengi wa hapa na pale, wakiwemo wachambuzi na nguli maarufu wa soka, walikejeli kusajiliwa kwa Palmer na kusema ni ufujaji wa pesa tu.

Hakuwa na uzoefu kwenye ligi, Man City hakupewa dakika za kutosha lakini kusema kweli, Joe Shields ambaye alimuona pale na kumnyakua dakika za mwisho za dirisha anastahili maua yake.

Sasa hata Real Madrid wakija na milioni 150, tutakuwa na mjadala mkubwa.

Pia usajili wa Maresca ulileta mkanganyiko mkubwa kwenye majukwaa mengi ya wachambuzi wa soka, wengi wao wakisema kuwa ukocha wake wa kwanza pale Parma ulishindikana na mafanikio aliyoyapata akiwa na Leicester City hayakuwa na taswira ya kweli kama angeweza kufanikiwa na Chelsea kwenye EPL kwa sababu ilikuwa. kutoka kwenye ligi duni.

Walisema ni kocha rigid na hana mbinu. Wengine walimpa mechi tatu, wengine mechi tano na wengine mechi 10. Nilimpa hadi December na tayari nimeshaona matokeo yatakuwaje mwezi wa Disemba.
VIVA Chelsea
 
Wanaomkandia Enzo waangalie hii clip, mechi zote Enzo anacheza mchango wake hauangaliwi na wabaya wake ila vimakosa tudogo tudogo ndizo zinazoangaliwa

 
Sikumbuki nakubali kukosolewa kipindi cha poche je aliwahi shinda kocha bora wa mwezi na mchezaji sikumbuki alikuwa nani ???
 
1728806806812.png
 
Waliompita Enzo Fernandez kwenye ratings walikuwa ni Noni Madueke na Cole Palmer tu. Sasa hiyo chini ya kliwango imesababishwa na nini?
Enzo alionekana kupoteza mipira ovyo lakini pia hakuwa create chance aliyotengeneza japo alikuwa anapanda mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom