Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea, wamtoe hata bure tu anawategea wenzake.
James anaweza akawa ni injury ila akirudi mara nyingi hahitaji mpaka awe na mechi nyingi ndio arudi kwenye form unakuta game hiyo hiyo ya kwanza anakiwasha alafu mnaanza kumuimba.Kama hela utoi wewe kwanini uumie kama uongozi umeridhika nae wewe kinachokuwasha nini?
 
Jems kaanza mpira siku nyingi kashachoka yule kacheza sana kwa mkopo vitimu kibao vya daraja la kati
James anaweza akawa ni injury ila akirudi mara nyingi hahitaji mpaka awe na mechi nyingi ndio arudi kwenye form unakuta game hiyo hiyo ya kwanza anakiwasha alafu mnaanza kumuimba.Kama hela utoi wewe kwanini uumie kama uongozi umeridhika nae wewe kinachokuwasha nini?
 
Wanasoka 10 wanaoliipwa zaidi mwaka 2024, kulingana na Forbes.

1. Cristiano Ronaldo: $285M
2. Lionel Messi: $135M
3. Neymar: $110M
4. Karim Benzema: $104M
5. Kylian Mbappé: $90M
6. Erling Haaland: $60M
7. Vinícius Mdogo: $55M
8. Mohamed Salah: $53M
9. Sadio Mané: $52M
10. Kevin De Bruyne: $39M

1729230135718.png
 
James anaweza akawa ni injury ila akirudi mara nyingi hahitaji mpaka awe na mechi nyingi ndio arudi kwenye form unakuta game hiyo hiyo ya kwanza anakiwasha alafu mnaanza kumuimba.Kama hela utoi wewe kwanini uumie kama uongozi umeridhika nae wewe kinachokuwasha nini?
Yule Reece James wa academy aliyekuwa akicheza na akina Tammy Abraham, Mason Mount, Tomori hayuko tena. Misuli na muda aliokaa nje hawezi tena kurudi.
Maresca amejitahidi sana kuzuia injuries lakini yeye hata akiwa anafanya punyeto anashikwa na misuli
Ana bahati mbaya sana kwamba atabakia kwenye historia tu kuwa RB bora zaidi duniani ameishia kitandani kwa sababu ya misuli
 
Bado ni mchezaji mzuri so sioni tatizo lolote kwasababu tunaye melo Gusto anatubust kipindi yeye hayupo hata akikaa nje muda mrefu still akija anatupa kitu kizuri nyinyi mnaolalamika auzwe kwani hela mnatoa nyie
 
Christopher Nkunku anaweza kushinikiza kuondoka Chelsea msimu ujao ikiwa hataingia kwenye first eleven

Nampenda sana Nkunku na nitamtakia kila la kheri akitoka Chelsea. Anastahili kuondoka ikiwa kocha hatampa mechi za ushindani. Kwa upande mwingine, nitamchukia Maresca kwa kutompa dakika za kutosha katika michezo ya ushindani. Kama Nkunku ataondoka Chelsea itakuwa ni makosa ya Maresca kwa kumuweka bench mchezaji bora naman hii na sio Nkunku.

1729231346851.png
 
Ebu nipe mechi ambazo alicheza misimu miwili iliyopita halafu tupime je ina liability au asset ndani yake
 
Christopher Nkunku anaweza kushinikiza kuondoka Chelsea msimu ujao ikiwa hataingia kwenye first eleven

Nampenda sana Nkunku na nitamtakia kila la kheri akitoka Chelsea. Anastahili kuondoka ikiwa kocha hatampa mechi za ushindani. Kwa upande mwingine, nitamchukia Maresca kwa kutompa dakika za kutosha katika michezo ya ushindani. Kama Nkunku ataondoka Chelsea itakuwa ni makosa ya Maresca kwa kumuweka bench mchezaji bora naman hii na sio Nkunku.

View attachment 3128407
Sipendi ile hali ya kumfanya Jackson awe kwenye comfortable zone
 
James anaweza akawa ni injury ila akirudi mara nyingi hahitaji mpaka awe na mechi nyingi ndio arudi kwenye form unakuta game hiyo hiyo ya kwanza anakiwasha alafu mnaanza kumuimba.Kama hela utoi wewe kwanini uumie kama uongozi umeridhika nae wewe kinachokuwasha nini?
Yule ni mtumishi hewa mechi zake tano anarudi kitandani. Shida sio kuingia. Shida ni pindi anapotoka. Unakuta timu inakua imeshaelewana mara paa injury tunaanza tena moja kutafuta muunganiko. Sa si bora tuwe na mchezaji ambaye gari likishawaka anawaka nalo, Unamtetea tu mchezaji gani wa MOI kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom