lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,705
- 25,949
Haijalishi kesho tutakaa na mpira kwa muda gani, tutamiliki mpira kwa muda gani, ikiwa wachezaji wataweza kuwa wazuri wakiwa hawana mpira ni rahisi kuifunga Liverpool.
Liverpool wanapress sana na wachezaji wao wana kasi
Wana uwezo wa kumiliki mpira bila kupoteza hovyo
Wanaongoza ligi
Wana wafungaji hatari
Luiz Dias yuko kwenye form nzuri sana
Ryan Gravenberch ni hatari akipewa nafasi ya kuserereka na mpira
twende na 4-2-3-1
--------------Nkunku-------------
Sacho ----- Palmer-----Madueke
--- Lavia --------------Caicedo---
Veiga---Collwill---Tosin---Gusto
------------- Sanchez-------------