Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sio takataka sema tu ameshuka kiwango sio vile tunavyomjua mchezaji bora chipukizi wa kombe la dunia unawezaje kumuita takataka
Mechi na Forest, Enzo ameongoza kwa kufanya recovery nyingi. Na kila mechi Enzo anafanya kazi ambayo wengi hawaioni ila inapotokea kakosea moja tu, anashikiliwa hapo
 
Reece James na Omari Kellyman ndio wako majeruhi
Chukwuemeka anaumwa mafua nadhani
Colwill na Madueke walipata knock ila kocha kasema wako salama
Cucurella na Fofana wana njano 5, watakosa mechi na Liverpool
Exactly.....viega atachukua nafasi ya cucurela...na fofana nafasi yake itakuwa ni ya adarabiayo au disasi...itategemea na machagulio ya kocha
 
Enzo akiwa bora huitaji kuja na hiyo takwimu
Wenye guts za kumpita Enzo ni Moises Caicedo, Kovacic na Bruno G tu, sidhani kama wako CM wengine wanaweza. Waliobaki aidha kawazidi au wamelingana
1728308428103.png
 
IMEFICHUKA:
Vilabu vilivyotoa ushahidi kwa upande wa Ligi Kuu dhidi ya #ManCity juu ya sheria za Muamala ligi Kuu.
◾️ Arsenal
◾️ Manchester United
◾️ Liverpool
◾️ West Ham
◾️ Brentford
◾️ Bournemouth
◾️ Fulham
◾️ Wolves
 
Kwahiyo baada ya hizo klabu kutoa ushahidi kipi kifuatacho Chifu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
sasa we kuwa bega kwa bega hvyohvyo na majirani zako wakichukua ndoo mwisho wa msimu huku nyie mkiwa trophyless
Ulikuwa unabweka sana kule jukwaani kwetu kwa kutoa draw na Brighton pale Emirates tena tulikuwa pungufu....jana kimetokea nn mkuu maana mmecheza na madogo wako pungufu na bado mmepata draw🤠🤠🤠....siku tukikutana mjipange aisee....hazitakuwa Tano aisee inaweza kuwa Saba kabisa
 
Acha kupita na kanga 1 mbele ya kikao cha Kiume, Arse8 ni Ke mziwanda tu kwa Chelsea SC tukikaa kikao cha Me wenye makombe ya UEFA champions league.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ulikuwa unabweka sana kule jukwaani kwetu kwa kutoa draw na Brighton pale Emirates tena tulikuwa pungufu....jana kimetokea nn mkuu maana mmecheza na madogo wako pungufu na bado mmepata draw🤠🤠🤠....siku tukikutana mjipange aisee....hazitakuwa Tano aisee inaweza kuwa Saba kabisa
Nyie ni machachari sio hatari mpo kwaajili ya kuchangamsha ligi sio kushinda makombe
 
Ulikuwa unabweka sana kule jukwaani kwetu kwa kutoa draw na Brighton pale Emirates tena tulikuwa pungufu....jana kimetokea nn mkuu maana mmecheza na madogo wako pungufu na bado mmepata draw🤠🤠🤠....siku tukikutana mjipange aisee....hazitakuwa Tano aisee inaweza kuwa Saba kabisa
Hizo saba afunge nani martinelli au 😂😂😂😂 kwanza Wale nottingham kwa sasa pale epl ndo kings of low blocks hasa wakiwa wanacheza na timu kubwa 😂😂..sasa km liverpuru ile siku walivyochapwa na hao watoto walitengeneza nafasi moja tu..nyie na viushindi vya papatupapatu na boko haramu football bado hamjakutana nao usitukane mamba kabla hujavuka mto😂
 
Nottingham forest??🤠🤠🤠....wale Sasa ndo level yenu mkuu....ukishafika mwezi wa 12 huko ndo utanielewa nnachomaanisha pale mtakapokuwa mnagombania nao nafasi zenu pendwa za 10 na 11....Liverkuku walikumbushwa tu kwmba wajenge timu waachane na wafukuza upepo....siku tukikutana na hao madogo ntaku tag kukumbusha kwmba nott forest ni watoto wadogo sana kwa namna tutakavyowatoa manundu
 
Hizo saba afunge nani martinelli au 😂😂😂😂 kwanza Wale nottingham kwa sasa pale epl ndo kings of low blocks hasa wakiwa wanacheza na timu kubwa 😂😂..sasa km liverpuru ile siku walivyochapwa na hao watoto walitengeneza nafasi moja tu..nyie na viushindi vya papatupapatu na boko haramu football bado hamjakutana nao usitukane mamba kabla hujavuka mto😂
Zile Tano kwani alifunga nani shehe....binadamu mmeumbiwa kusahau....Kai ngongoti si aliingia kambani mara 2 na Ben white bishoo....safari hii ni Martinelli na Kai tena watawapa saba
 
Acha kupita na kanga 1 mbele ya kikao cha Kiume, Arse8 ni Ke mziwanda tu kwa Chelsea SC tukikaa kikao cha Me wenye makombe ya UEFA champions league.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Unaongea kwa uchungu sana mkuu🤠🤠🤠....Haina haja ya kutumia abusive language....jengeni timu vinginevyo safari hii hazitakuwa Tano tena Bali saba
 
Who cares? Mlipopiga 5 mlibeba kombe gani zaidi ya kuwa wasindikizaji bora tu EPL tangu Arsene Wenger astaafu kuifundisha Arse8?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Who cares? Mlipopiga 5 mlibeba kombe gani zaidi ya kuwa wasindikizaji bora tu EPL tangu Arsene Wenger astaafu kuifundisha Arse8.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hatukubemba kombe ila tuliwaonesha wapi pa kuimarisha zaidi kwny kikosi chenu na safari hii itakuwa hvyohvyo...mtakula Saba Ili mjue kabisa Disasi na Fofana pamoja na kipa wenu Sanchez sio wachezaji daraja la Chelsea
 
Makolokolo ndiyo huwa wana akili hizo, ila endeleeni kuteseka na Arse8 yenu mpaka maji muite mma.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Makolokolo ndiyo huwa wana akili hizo, ila endeleeni kuteseka na Arse8 yenu mpaka maji muite mma.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
As long as tukikutana tunawafumua....it's okay🤠🤠🤠...tutateseka lakini Chelkenge hata tucheze nao alfajiri bado tunawatoa manundu...hcho ndo kikubwa
 
Kikubwa Chelsea SC ni kidume wenu timu zote za West London in international leagues, Arse8 inachomzidi Chelsea SC ni umri tu wa kuasisiwa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kikubwa Chelsea SC ni kidume wenu timu zote za West London in international leagues, Arse8 inachomzidi Chelsea SC ni umri tu wa kuasisiwa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kabisa...nyny ni wakubwa sana ila jiandaeni vzuri....mkija kama mlivyo sasahvi Saba zinahusika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom