Tunataka kuwachomoa nafasi mliyokalia ninyi wahuni ,Mmejitahidi majirani 🤠🤠....kocha madevu wa nott forest sio mtu mzuri....yule ni ngunguri au jino kwa jino....tuko na nyie majirani mpk mrudi nafasi yenu ya nane
Mmekalia nafasi yetu
Tunataka kuwachomoa nafasi mliyokalia ninyi wahuni ,Mmejitahidi majirani 🤠🤠....kocha madevu wa nott forest sio mtu mzuri....yule ni ngunguri au jino kwa jino....tuko na nyie majirani mpk mrudi nafasi yenu ya nane
Hata wewe ni takataka hujijui tu
Madueke sio takatakla. kwa sasbabu tu hachezi uynavyotaka. Contribution ya Madueke RW hakuna mchezaji anayeweza kuifikia kwa sasa labda waje wapya au form ya Neto ipande. Madueke kuwa mchoyo haitoshi kumuita takata.
Kwa kumtegemea Madueke na Jackson sio🤠🤠🤠....mpk mwezi wa 12 mtakuwa msharudi nafasi yenu ya 7 rasmi....Tunataka kuwachomoa nafasi mliyokalia ninyi wahuni ,
Mmekalia nafasi yetu
Wasifie na wapinzani kidogo ndugu yangu , Liverpool walipigwa pamoja na ubora waoMechi kama hii tunatoaje sale!!! Hatuko pale kupigania kuingia top 4, tuko pale kupigania ubingwa. Kuchukua ubingwa inabidi hivi vi timu muwasho unavikung'ung'uta kweli kweli.
Kipindi cha kwanza tumepata nafasi nyingi na nzuri tu lakini kama kawaida yake takataka Madueke kila siku hajirekebishi. Narudia tena, huwezi chukua ubingwa ukiwa na matakataka kama Madueke, Enzo, Jackson, Fofana, Sanchez na mwalimu wao Enzo.
Zamu hii tumejipanga , tutawachomoa tu hapo soonKwa kumtegemea Madueke na Jackson sio🤠🤠🤠....mpk mwezi wa 12 mtakuwa msharudi nafasi yenu ya 7 rasmi....
Hivi unawajua forest wanakaba kama team ya baba yao na yule kipa wao wamuongezee mshaharaTimu la kifala sana huli yaan na red card wakala ila draw nusura tu nili cashout mapema. Ila silibetiii tena timu lenu.
Labda miaka 5 mbeleni jirani....bdo mna kikundi cha jogging hapo darajani sio timu ya mpira🤠đź¤Zamu hii tumejipanga , tutawachomoa tu hapo soon
Unadhani Nottingham forest ni wabovu,Ni team yenye defensive record nzuri mpaka sasa kwenye league.Timu la kifala sana huli yaan na red card wakala ila draw nusura tu nili cashout mapema. Ila silibetiii tena timu lenu.
Mkuu wachezaji wa Chelsea walio katika treatment room ni James pekee na dogo flani..wengine wote wapo fitiChangamoto kubwa ya Chukumweka ni majeruhi sio mchezaji anaeweza cheza game 5 mfululizo
Hivi yule kipa wa forest aliwezaje kusave kichwa kule Cha nkuku?Mechi kama hii tunatoaje sale!!! Hatuko pale kupigania kuingia top 4, tuko pale kupigania ubingwa. Kuchukua ubingwa inabidi hivi vi timu muwasho unavikung'ung'uta kweli kweli.
Kipindi cha kwanza tumepata nafasi nyingi na nzuri tu lakini kama kawaida yake takataka Madueke kila siku hajirekebishi. Narudia tena, huwezi chukua ubingwa ukiwa na matakataka kama Madueke, Enzo, Jackson, Fofana, Sanchez na mwalimu wao Enzo.
Umeelewa kitu nilichoandika kweli?Mkuu wachezaji wa Chelsea walio katika treatment room ni James pekee na dogo flani..wengine wote wapo fiti
Hivi yule kipa wa forest aliwezaje kusave kichwa kule Cha nkuku?
Mimi nataka wacheze hata mechi ya Bournemouth walifanya vizuriMechi na Liverpool, Fofana na Cucurella hawatacheza badala yake tutakuwa na Tosin na Veiga kwenye hizo nafasi. Itakuwa bonge la mechi. Lazima hawa dogo watamuonyesha kocha kitu hapo
Basi niliwqchukulia poa bila kuwajuaUnadhani Nottingham forest ni wabovu,Ni team yenye defensive record nzuri mpaka sasa kwenye league.
Wamepata ushindi Anfield Liverpool alifanikiwa kucreate 1 big chance ndani ya dakika 90 na expected goals kwa liver ilikuwa 0.7XG
Wafatilieni