Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi wadau Enzo Fernandez kimemkuta nini jana kacheza ovyo sana msimu huu mechi nyingi yupo underperformed shida system anayochezeshwa au yeye binafsi
 
Si niliwambia hapa huyo jamaa ni takataka, tena wewe mwenyewe ukamkingia kifua.

Msimu huu kuna mabadiliko makubwa mno na tunacheza kwa uzuri sana. Inafurahisha sana inavutia ata kuitizama Chelsea ikiwa inacheza. Kuna maendeleo makubwa ndani ya kikosi chetu.

Mpaka sasa kwenye ligi tumecheza michezo saba, mchezo pekee naweza sema tulizingua na kuachia pointi ni ule tulicheza dhidi ya Palace. Huo pekee naweza sema tulifanya makosa katika ufundi, mingine yote mapaka sasa naona tuko vizuri ata ule wa jana tumecheza vizuri sana. Unaona kabisa wachezaji wametengeneza nafasi lakini ubora wa wapinzani umetunyima pointi tatu.

Kwa msimu huu naona kabisa tunaenda kuwania ule ubingwa sio tu kuingia nne bora. Tuna kikosi kizuri na chenye kupambana haswa, inabidi tu kocha afanyie usahihi kwa baadhi ya wachezaji kama Madueke, Jackson, Fofana na Sanchez wawe makini waelewe kuwa tuko pale kwa kutafuta ubingwa sio kuingia nne bora tu. Pia kocha aache kulea wachezaji wanao muangusha kila mchezo, mchezaji akizingua piga benchi ili akili imkae sawa tuna wachezaji wazuri huko benchi wanasubiri nao wapate nafasi ya kucheza.

Naona kabisa msimu huu tukiondoka na angalau kombe moja.
 
Sio takataka sema tu ameshuka kiwango sio vile tunavyomjua mchezaji bora chipukizi wa kombe la dunia unawezaje kumuita takataka
 
Leo umeongea point
 
Felix anakwama wapi kukosakosa clear goal chances kama kile kichwa alichopiga nnje ya lango la goli kabisa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Sio takataka sema tu ameshuka kiwango sio vile tunavyomjua mchezaji bora chipukizi wa kombe la dunia unawezaje kumuita takataka
Takataka kwa wakati huu, si wakati anachukua tuzo hiyo ya dunia.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kombe la dunia ilikuwa mwaka 2022 leo ni 2024 kuna muda mrefu umepita hapo, kwahiyo kuna mabadiliko makubwa mno. Kifupi Enzo kwa sasa ni takataka tu pamoja na lile genge lake.
Sio takataka sema tu ameshuka kiwango sio vile tunavyomjua mchezaji bora chipukizi wa kombe la dunia unawezaje kumuita takataka
 
Mkuu sio kwamba mimi huwa sioni mazuri wanayo fanya uwanjani, naona sana ila kwenye ukweli inapaswa tuseme. Na wanapo zingua tuseme pia, Enzo, Jackson, Fofana, Sanchez na Madueke hawa ni matakataka watakao tufelisha huko mbele. Mwalimu inapaswa achukue maamuzi magumu. Mudrky, Tosin, Nkunku na Neto hawa nao wapewe muda wa kutosha mara moja moja wawe wanaanza kikosi cha kwanza.
Leo umeongea point
 
Mawazo yangu tu Wana blues wenzangu,
Ninaona kama kitambaa cha unahodha hakija mfiti zuri ENZO FERNANDEZ ambaye ni nahodha msaidizi kwa sasa aliyekaimu unahodha mkuu kwa muda mpaka pale Reece james atakapokuwa sawa.

Kama umejaribu kufatilia kwenye game nyingi Enzo ni mchezaji flani hivi mwenye hasira za karibu na kisasi asiyeweza kutuliza ghasia kwa wachezaji wenzie na wa timu pinzani bali anahamasisha ugomvi.
Nyie mnaonaje wadau
 
Mkuu sio kwamba mimi huwa sioni mazuri wanayo fanya uwanjani, naona sana ila kwenye ukweli inapaswa tuseme. Na wanapo zingua tuseme pia, Enzo, Jackson, Fofana, Sanchez na Madueke hawa ni matakataka watakao tufelisha huko mbele. Mwalimu inapaswa achukue maamuzi magumu. Mudrky, Tosin, Nkunku na Neto hawa nao wapewe muda wa kutosha mara moja moja wawe wanaanza kikosi cha kwanza.
Facts , Mawazo ya wanablues wengi kwa sasa yanaendana Enzo amekuwa akicheza chini ya kiwango kila mechi , Madueke sehemu za kutoa pasi anafosi afunge yani kwenye majaribio 6 atapiga mashuti matano na Atataoa pasi 1 , Kuhusu Jackson kila mtu anaujua mauza uza yake kwenye kuscore .

Tukirudi kwa Sanchez huyu ana ubora wake na madhaifu yake machache ambapo jamaa hana footwork nzuri hali inayosababisha kuchoma sana , uzuri wake ni kufanya saves ambazo zinaonekana ni impossible to be saved , rejea mechi ya jana.

Fofana kwangu naamini akipewa muda atakuwa vizuri zaidi maana kumbuka alikuwa na majeraha ya msimu mzima.

Wengine wa kuongezea hapi ni Badliashale pamoja na Disasi hizi beki zinabidi zijitathmini aisee ni njia sana hasa Badliashale
 
Bashiachile huyu ni mfanyakazi hewa wamtafutie team nyingine akacheze
 
Disasi na Badiashile hawana skills za Beki mahiri hata kwa 50% tu za Mabeki waliokuwa hapo Stamford Bridge kama John Terry, Canavaroh na Ivanovich ila wanacheza kwenye timu kubwa Chelsea SC, sometimes hii dunia huwa inashangaza sana daaah...😳🤸🤔

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Disasi na Badiashile hawana skills za Beki mahiri hata kwa 50% tu za Mabeki waliokuwa hapo Stamford Bridge kama John Terry, Canavaroh na Ivanovich ila wanacheza kwenye timu kubwa Chelsea SC, sometimes hii dunia huwa inashangaza sana daaah...😳🤸🤔

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
IInashangaza sana Chalobah anaachwa vinabaki hivi viumbe
 
Mkuu wachezaji wa Chelsea walio katika treatment room ni James pekee na dogo flani..wengine wote wapo fiti
Reece James na Omari Kellyman ndio wako majeruhi
Chukwuemeka anaumwa mafua nadhani
Colwill na Madueke walipata knock ila kocha kasema wako salama
Cucurella na Fofana wana njano 5, watakosa mechi na Liverpool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom