Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Wewe siku zote huwa una tetea haya matakataka, ina maana hilo tatizo kocha halioni kila siku? Huyo Kocha na Madueke wote ni matakataka
Madueke anakiwasha huko, tatizo lake ni lile lile, hata hajaribu kuwaangalia wenzake wako wapi. Lakini anacheza vizuri kuliko hata Neto na form yake ya sasa hivi.