Utakuwa umeweka pesa yako mahala sahihiKwa hiyo leo tuwabetie wana wan wa chelsea fc..?
Utakuwa umeweka pesa yako mahala sahihiKwa hiyo leo tuwabetie wana wan wa chelsea fc..?
Kutokana na aina game ya leo ungependa katikati wachezaji gani wacheze?Game ya leo ni ngumu kwa aina ya soka wanalocheza Forest, Wanacheza kwa kujilinda sana kitu cha muhimu tuepukane na individual mistake
NgorikaKutokana na aina game ya leo ungependa katikati wachezaji gani wacheze?
Hapo kwa Madueke wangemuweka NetoNgorika
Gusto
Tosin
Colwil
Cucurela
Enzo
Caicedo
Palmer
Sancho
Madueke - Japo sio kwa umuhimu
Jackson
Forest leo wataingia kwa lengo la kupack kama walivyofanya kwa man u na hata ukimmsikiliza kocha wao unaona kabisa ndicho watakachofanya kulingana na hivyo I preferred Madueke over Neto kwasababu Madueke anaforce Neto needs space ili adeliver na wale jamaa navyowajua watabana spacesHapo kwa Madueke wangemuweka Neto
Na kubaliana na wewe asilimia zote kwenye defence tunamwitaji sana Tosin zaidi ya Fofana leo kuliko maelezo kwasababu wale jamaa watakuja kwa lengo la kupack pasi na ni kweli wapo vizuri kwenye hilo eneo na mashambulizi ya kustukiza,Tosin atatusaidia kupitia pass zake zile ili tufanye transition ya haraka kuvunja shape yao ya ulinzi.Ngorika
Gusto
Tosin
Colwil
Cucurela
Enzo
Caicedo
Palmer
Sancho
Madueke - Japo sio kwa umuhimu
Jackson
Kibarua kigumu sana, hao wahuni hata kama tukiwatangulia bado tunapaswa kuwa na nidhamu kubwa sana na kutofanya makosa ya kipumbavu ya kukosa kosa clear chances to score goals.Japo ushiundi wa leo hautatupeleka juu ya table bali kumfunga Forest ni moja ya mechi muhimu kabla hatujakutana na Liverpool baada ya International break. Forest ni wazuri kwenye low block defending. watakaotuponya pekee ni Sacho, Enzo na Plamer, hawa ndio wachezaji ambao ni creative so far
wakiingia akina Nkunku na Neto baadaye watakuta wamechoka
Goli la kwanza la mapema la Chelsea itatuhakikishia ushindi kwa sababu wakijaribu kufunguka tutawaongezea
Sijui kwanini Fofana anapendwa sana na kochaTimu dhidi ya Forest
Line up: 4-2-3-1
-----------------Jackson-------------------
Sacho ----------Palmer ------------Madueke
-------Enzo ------------------Caicedo-------
Cucurella ------Colwill-----Fofana-------Gusto
------------------Sanchez------------------
Bench:
- Jorgensen
- Adarabioyo
- Disasi
- Veiga
- Lavia
- Mudryk
- Neto
- Felix
- Nkunku
Labda anamjengea uwezo akiamini ataweza kuwa vizuri zaidi huko mbeleni.Sijui kwanini Fofana anapendwa sana na kocha
Msenge sana maduekeMadueke
Madueke
Madueke
Papa GX uko wapi kuona hii takataka?Madueke
Madueke
Madueke
Madueke anakiwasha huko, tatizo lake ni lile lile, hata hajaribu kuwaangalia wenzake wako wapi. Lakini anacheza vizuri kuliko hata Neto na form yake ya sasa hivi.Madueke
Madueke
Madueke
Timu si ya Babaake bali ni ya Wachezaji wenziye, awe kama Sancho atakuwa bora sana, sana , saaaana.Madueke anakiwasha huko, tatizo lake ni lile lile, hata hajaribu kuwaangalia wenzake wako wapi. Lakini anacheza vizuri kuliko hata Neto na form yake ya sasa hivi.