Kocha nae anaanza kuwa mduanzi, kuna wachezaji hawatakiwi kuanza benchi, na pia kuna michezaji hawàtakiwi kuanza 1st eleven km "Madueke" huyu hata Norwich hapati namba.Huu msimu tukikaza tunaondoka na trophy katika baadhi ya mashindano tunayoshiriki ,hatuwezi toka mikono mitupu .
Ni kocha kuwa strict Tu na kupanga majeshi
Mkuu Hansi Flik kapgwa 4 na Osasuna huku. Vp tumuite takataka au tumpe muda kwanza?
Yuko kwenye hatua yamaturity ya soka lake, ahukumiwe mwisho wa msimu wakati atakapoleta mahesabu ya magoli
Haaland alikosa nafasi nyingi kulko strikers wote wa EPL msimu uliopita, alikosa takriban nafasi 30 lakini hesabu yake ya magoli ilifunika misses zake
Alhamisi tunagame ya UECL then Jumapili tunagame ya league lazima ujaribu kutafuta namna ya kuwaweka wachezaj wote katika hali sawaKocha nae anaanza kuwa mduanzi, kuna wachezaji hawatakiwi kuanza benchi, na pia kuna michezaji hawàtakiwi kuanza 1st eleven km "Madueke" huyu hata Norwich hapati namba.
Nadhani Enzo anayo sababu ya kumpanga Madueke 1st Eleven, anampa nafasi ya kujiboresha zaidi. Lakini pale kocha atakapoona habadiliki hakika Madueke ataanza kutokea sub.Kocha nae anaanza kuwa mduanzi, kuna wachezaji hawatakiwi kuanza benchi, na pia kuna michezaji hawàtakiwi kuanza 1st eleven km "Madueke" huyu hata Norwich hapati namba.
Anaweza akawa ni mchoyo lakini ana offer defensively work kitu ambacho kinafanywa na wachezaji wachache ndani ya team ukimuondoa Caicedo Enzo hakabi,Sancho hakabi na Palmer piaKocha nae anaanza kuwa mduanzi, kuna wachezaji hawatakiwi kuanza benchi, na pia kuna michezaji hawàtakiwi kuanza 1st eleven km "Madueke" huyu hata Norwich hapati namba.
Ndugu unaposema beki kamkazia unataka asitekeleze jukumu lake? Unachotakiwa kuelewa ni kubwa Jackson ni mzito kwenye maamuzi. Anajivuta sana. Kwa game kama ya jana jinsi chance zilikua zinatengenezwa alipaswa awe na goli lakini ndio ivyo huwezi laumu ni average player.Sio kweli Jackson ni mchezaji mzuri sema yule beki kamkazia sana. Jackson ana offer vitu vingi kwenye team ndio anafanya pale mbele panoge ni mzuri kwenye link up playing, ana press, anatengeneza nafasi kwa wenzake na ana movement nzuri zinazosaidia hata Palmer kuingia inside
Kama kocha atashughulikia tatizo la kuruhusu magoli tunaweza fika huko. Ila kama tunaruhusu kizembezembe kama jana story itakua ile ile kama msimu uliopitaHuu msimu tukikaza tunaondoka na trophy katika baadhi ya mashindano tunayoshiriki ,hatuwezi toka mikono mitupu .
Ni kocha kuwa strict Tu na kupanga majeshi
Kweli Hansi Flick ni daraja tofauti na Enzo lakini bado haijafika hatua Enzo kuwa takataka. Kuna vitu anafanya ni superb ila kuna baadhi nahisi bado anaona muda anao wa kufanya mabadiliko. So far Enzo anajitahidi sana nadhani homework yake kwa sasa ni kuziba mianya ya kuruhusu magoli kifalafala. Inayofata ni kupata jibu la kwenye midfield ya Enzo na Caicedo.Umeona kikosi alicho panga lakini, ama una andika tu. Barca Jumanne anacheza UEFA hivyo ilikuwa ni lazima apumnzishe baadhi ya wachezaji. Huwezi mlinganisha Flink na takataka Enzo.
Huyo madueke anaona wivuChelsea hadi sasa inaongoza ligi kwa ufungaji wa magoli
1) Chelsea (15)
2) Man City (14)
3) Liverpool (12)
4) Arsenal (12)
Asanteni sana Manchester City na Manchester United kwa kutupatia washambuliaji wa zuri sana
Cole Plamer - mchezaji bora kwa sasa wa dunia
Jadon Sancho - winger anayetumia akili nyingi sana
View attachment 3109974
Mkuu umeongea vizuri sana yena bila mihemuko umechanbua na kusema ukweli ki mpiraKweli Hansi Flick ni daraja tofauti na Enzo lakini bado haijafika hatua Enzo kuwa takataka. Kuna vitu anafanya ni superb ila kuna baadhi nahisi bado anaona muda anao wa kufanya mabadiliko. So far Enzo anajitahidi sana nadhani homework yake kwa sasa ni kuziba mianya ya kuruhusu magoli kifalafala. Inayofata ni kupata jibu la kwenye midfield ya Enzo na Caicedo.
Mabadiliko ya haraka haraka Madueke hatakiwi kuanza, piga bench Jackson awe anatokea bench nafasi yake aanze Nkunku.
We jamaa umetoa lecture kama Prof wa Chuo kikuu. Mi napenda members wanauona mpira kwa Angel nyingine.Kweli Hansi Flick ni daraja tofauti na Enzo lakini bado haijafika hatua Enzo kuwa takataka. Kuna vitu anafanya ni superb ila kuna baadhi nahisi bado anaona muda anao wa kufanya mabadiliko. So far Enzo anajitahidi sana nadhani homework yake kwa sasa ni kuziba mianya ya kuruhusu magoli kifalafala. Inayofata ni kupata jibu la kwenye midfield ya Enzo na Caicedo.
Mabadiliko ya haraka haraka Madueke hatakiwi kuanza, piga bench Jackson awe anatokea bench nafasi yake aanze Nkunku.
Sijui Watu huwa wanajitoa ufahamu, magoli yote mawili ni upumbavu wa Kipa, na Kocha ana mahaba naye kama damu na maji.Kipa baba.. magoli yote mawili kipa. Sijui kalala na malaya jana huyu...
Tulishamwona kitambo sana ila ndiyo hivyo sisi hatuna maamuzi kutompanga ingawa sometimes huwa bora ila si kwa makosa mawili yote kwa mechi 1.Ila Sanchez Dah, goli zote mbili kachoma.
Umesema sahihi kabisa. Ile mechi yetu dhidi ya Bournemouth away ile ambayo Nkunku anaingia nafasi ya Jackson anafunga goli la ushindi. Nkunku aliulizwa wakati unaingia kuchukua nafasi ya Jackson kocha (Enzo) alikwambia neno gani? Nkunku kajibu wakati naingia kocha aliniambia I NEED QUALITY IN THE BOX. Nkunku akaingia Jackson akatoka na Nkunku alifunga goli la ushindi dakika za jioni.We jamaa umetoa lecture kama Prof wa Chuo kikuu. Mi napenda members wanauona mpira kwa Angel nyingine.
Nakuunga mkono tofauti kati ya Enzo na Makocha wengine mfano Thomas Tuchel, Klop, Conte n.k makocha hao hawakuonyeshi madhaifu ya wachezaji kwenye timu zao, mifumo yao na style zao za uchezaji zinabeba madhaifu ya wachezaji.
Enzo mifumo na style zake unakuonyesha ubora na udhaifu wa mchezaji mmoja mmoja, eneo moja moja (Ulinzi, Kiungo na Ushambuliaji).
Kiufupi kwenye mifumo ya kocha Enzo, eneo linakuwa bora kutokana na ubora wa wachezaji kwenye eneo husika. Ndio maana tunamuona Jackson na Madueke wanazingua, Utawaona Caicedo, Cucurela, Sancho, Palmer na wengine wanakiwasha kwenye maeneo yao kwa sababu wanaonyesha ubora wao.
Madueke sio mchezaji mbaya ila mapungufu madogo madogo ndio yanamuumbua kwenye ubora mkubwa wa mbinu na style za Kocha. Madueke anatakiwa aende sambamba na details za ubora kocha anazotaka kutoka kwake kama mchezaji na sio Madueke kujichezea ilimradi anajiona ana kipaji na uwezo
Kama sio idara ya ushambuliaji kufunga magoli mengi tulikuwa tunaumia goal mbili kupigwa kizembe vile ni hatari sana.Sijui Watu huwa wanajitoa ufahamu, magoli yote mawili ni upumbavu wa Kipa, na Kocha ana mahaba naye kama damu na maji.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kinachomsaidia Jackson ana offer vitu vingi uwanjani ndio maana anaanza dhidi ya Nkuku sijui kwanini amulielewi hili, Jackson ana press, ana movement nzuri na nimzuri kwenye kujiposition zinazomfanya awe anapata nafasi nyingi unazoziona na pia anachezesha wenzake na kuwafanya wawe bora hivi ujiulizi kwanini Nkuku akicheza nafasi zinakuwa chache? Ni sawa na case ya Madueke pamoja ni kwamba ni mchoyo but uzuri wake anafanya defensively work kitu ambacho Neto, Felix,Sancho,Enzo hawafanyi so anapoamua kumpiga benchi Madueke it means that kuna kuwa inbalance kwenye angle ya defensively cos tutakuwa tunawachezaji wengi ambao hawakabiUmesema sahihi kabisa. Ile mechi yetu dhidi ya Bournemouth away ile ambayo Nkunku anaingia nafasi ya Jackson anafunga goli la ushindi. Nkunku aliulizwa wakati unaingia kuchukua nafasi ya Jackson kocha (Enzo) alikwambia neno gani? Nkunku kajibu wakati naingia kocha aliniambia I NEED QUALITY IN THE BOX. Nkunku akaingia Jackson akatoka na Nkunku alifunga goli la ushindi dakika za jioni.
Mimi naamini mapungufu kocha anayaona inabaki kazi ya mchezaji kujirekebisha tu. Huwezi ukawa unakosa nafasi zote zile halafu mechi inayofata unaendelea kuanza dhidi ya Nkunku we huogopi kama huo ni mtego.?