Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huwa nasema hapa Sanchez ni takataka sijapata kuona mnakuja midomo juu kumtetea eti kabadilika, huyo takataka kabadilika nini? Huwezi pambania ubingwa wa EPL ukiwa na kipa takataka kama huyo.

Huyo Kocha kilaza ni nini huwa anaona cha ziada kwa Madueke? Madueke ni takataka ambayo imeoza kabisa, chezaji choyo utadhani timu ni yake. Yaani uchukue ubingwa na takataka kama ile itakakuwa maajabu sana. Unashindwa kuanza na Neto unaanza na takataka, kule kocha ni takataka sana.

Fofana na Jackson hawa matakataka muda mwingine wanafurahisha sana.
 
Kuna yule jamaa anamuitaga jackson TAKATAKA na mimi namuunga mkono huwezi kugombania ubingwa alafu unamshambuliaji anapoteza nafasi kibao
Yuko kwenye hatua yamaturity ya soka lake, ahukumiwe mwisho wa msimu wakati atakapoleta mahesabu ya magoli

Haaland alikosa nafasi nyingi kulko strikers wote wa EPL msimu uliopita, alikosa takriban nafasi 30 lakini hesabu yake ya magoli ilifunika misses zake
 
Fofana ale benchi ,Tosin awe anaanza ,halafu Sanchez pia ale bench mwehu yule pia Madueke achanwe makavu aache upimbi , akizingua Felix awe anaanza , hamna kubembeleza na kuvumilia wapumbavu na wazinguaji sasa hivi ,squad depth ni kubwa na lundo la wachezaji kibao wanahitaji nafasi ya kucheza ,
Kocha awe mafia kama pep Tu , mistake out na unakula bench mechi inayofuata .
 
Huwa nasema hapa Sanchez ni takataka sijapata kuona mnakuja midomo juu kumtetea eti kabadilika, huyo takataka kabadilika nini? Huwezi pambania ubingwa wa EPL ukiwa na kipa takataka kama huyo.

Huyo Kocha kilaza ni nini huwa anaona cha ziada kwa Madueke? Madueke ni takataka ambayo imeoza kabisa, chezaji choyo utadhani timu ni yake. Yaani uchukue ubingwa na takataka kama ile itakakuwa maajabu sana. Unashindwa kuanza na Neto unaanza na takataka, kule kocha ni takataka sana.

Fofana na Jackson hawa matakataka muda mwingine wanafurahisha sana.
Naunga mkono hoja
 
Acha kumfananisha halland na huyo dogo mnaemtetea yaleyale ya morata
 
EPL G/A stats this season
1) Palmer: 10
2) Haaland: 10
3) Salah: 8
4) Jackson: 7
5) Diaz: 6
1727552632374.png
 
Huwa nasema hapa Sanchez ni takataka sijapata kuona mnakuja midomo juu kumtetea eti kabadilika, huyo takataka kabadilika nini? Huwezi pambania ubingwa wa EPL ukiwa na kipa takataka kama huyo.

Huyo Kocha kilaza ni nini huwa anaona cha ziada kwa Madueke? Madueke ni takataka ambayo imeoza kabisa, chezaji choyo utadhani timu ni yake. Yaani uchukue ubingwa na takataka kama ile itakakuwa maajabu sana. Unashindwa kuanza na Neto unaanza na takataka, kule kocha ni takataka sana.

Fofana na Jackson hawa matakataka muda mwingine wanafurahisha sana.
Mkuu Hansi Flik kapgwa 4 na Osasuna huku. Vp tumuite takataka au tumpe muda kwanza?
 
Fofana ale benchi ,Tosin awe anaanza ,halafu Sanchez pia ale bench mwehu yule pia Madueke achanwe makavu aache upimbi , akizingua Felix awe anaanza , hamna kubembeleza na kuvumilia wapumbavu na wazinguaji sasa hivi ,squad depth ni kubwa na lundo la wachezaji kibao wanahitaji nafasi ya kucheza ,
Kocha awe mafia kama pep Tu , mistake out na unakula bench mechi inayofuata .
Hii kitu ilimsaidia sana Madueke msimu uliopita chini ya Poch. Hakua na mfululizo wa utopolo mwingi kama sasa.
 
Ngoja nikuwekee list ya wachezaji waliofeli chini ya Guardiola
1. Kelvin Phillips
2. Nolito
3. Claudia bravo
4.Zlatan Ibrahimovic
5. Kuna yule dogo Gomez nimemsahau jina la kwanza
6.Ferran Torres
Hao ni baadhi ya niliowakumbuka
Sasa unamlaumu kocha kwa hao wachezaji unaowaita takataka kwani ni yeye aliyewasajili? au kawakuta, si afadhali sasa hivi wanaonyesha kuimprove bado dhambi ya kocha hapo iko wapi?
Hans flick amesajili nani wa maana hapo Barcelona?
Wamiliki wanastrategies ya kununua na kuuza hapo utamlaumu Kocha kilaza wakati kakuta lundo la wachezaji?
Matatizo ya hii timu yameanza baada ya msimu wa kwanza wa Conte timu ilianza kuporomoka taratibu so andaa akili yako kabisa ujue itatugharimu si chini ya misimu 2 kuwa washindani wa kweli kwenye ligi kama angalau 2/3 ya wachezaji wataendelea kuimprove viwango vyao
Mwisho Pep kwa sasa ni kama icon ya makocha (yupo kwenye ulimwengu wake) hata huyo flick asingefanya lolote mbele ya Pep unless unataka kuniambia Flick ni zaidi ya Klopp
Flink aliyeluwa kichwa Jana?
 
Robert Sanchez kwenye ukurasa wake wa Instagram

"Makosa hutokea, sisi sote ni binadamu, isipokuwa Legend Cole Palmer🔥
Asanteni sana mashabiki🙏
Hii timu inaweza kufanikisha mambo makubwa kwa pamoja!💙
Siku moja ninasaidia na siku inayofuata wananisaidia. Hivi ndivyo tunavyokua kama timu🚀
View attachment 3109970🚀
Sanchez anaumwa kichwa.
 
Chelsea hadi sasa inaongoza ligi kwa ufungaji wa magoli
1) Chelsea (15)
2) Man City (14)
3) Liverpool (12)
4) Arsenal (12)
Asanteni sana Manchester City na Manchester United kwa kutupatia washambuliaji wa zuri sana

Cole Plamer - mchezaji bora kwa sasa wa dunia
Jadon Sancho - winger anayetumia akili nyingi sana
1727587106820.png
 
Robert Sanchez kwenye ukurasa wake wa Instagram

"Makosa hutokea, sisi sote ni binadamu, isipokuwa Legend Cole Palmer🔥
Asanteni sana mashabiki🙏
Hii timu inaweza kufanikisha mambo makubwa kwa pamoja!💙
Siku moja ninasaidia na siku inayofuata wananisaidia. Hivi ndivyo tunavyokua kama timu🚀
View attachment 3109970🚀
Amenichekesha but ukiacha na hayo makosa kizuri amefanya saves za maana awe anaongoza umakini akiwa na mpira miguuni akiweza hili atakuwa bonge la kipa
 
Chelsea hadi sasa inaongoza ligi kwa ufungaji wa magoli
1) Chelsea (15)
2) Man City (14)
3) Liverpool (12)
4) Arsenal (12)
Asanteni sana Manchester City na Manchester United kwa kutupatia washambuliaji wa zuri sana

Cole Plamer - mchezaji bora kwa sasa wa dunia
Jadon Sancho - winger anayetumia akili nyingi sana
View attachment 3109974
Njia pekee yackuzuia Chelsea ni kucheza defensive game tofauti na hapo tutazipiga team nyingi magoal
 
msim uliopita chini ya Poch tumekuja kushinda game 4 ya league tuko November.

Msim huu tunawaforce wapinzani waonekane wabovu mpaka sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom