Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 721
- 1,316
Kwa Akili Mlemba Jackson nakuunga mkono kwamba anaofa vitu vingi kuliko kufunga magoli.Kinachomsaidia Jackson ana offer vitu vingi uwanjani ndio maana anaanza dhidi ya Nkuku sijui kwanini amulielewi hili, Jackson ana press, ana movement nzuri na nimzuri kwenye kujiposition zinazomfanya awe anapata nafasi nyingi unazoziona na pia anachezesha wenzake na kuwafanya wawe bora hivi ujiulizi kwanini Nkuku akicheza nafasi zinakuwa chache? Ni sawa na case ya Madueke pamoja ni kwamba ni mchoyo but uzuri wake anafanya defensively work kitu ambacho Neto, Felix,Sancho,Enzo hawafanyi so anapoamua kumpiga benchi Madueke it means that kuna kuwa inbalance kwenye angle ya defensively cos tutakuwa tunawachezaji wengi ambao hawakabi
Cash Money Forever
Ila kwa Madueke amesema anasaidia kukaba na mashaka nalo, anasaidia kwa kiwango gani kwenye kukaba?
Je James akirudi uwanjani kwenye ubora wake kuna haja ya kumtegemea hiyo Madueke Kwenye ukabaji unaosema?