Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mmeshenyetwa mapema hivi
mmeshenyetwa mapema hivi
Usihofu mkuu ,leo tunafanya mauaji ya kimbali , hatuna mzaha
Tunaendelea mpapaso , Brighton leo ni zamu yake kupapapaswa , tunamsubiri Arsenyetoz kwa hamu ,tuje tumpe mpapasso wa adabu .

Ila jamani nyie hili litoto la kiingereza Vile Palmer ni kama Messi flani jamani
COLE PALMER COLE PALMER COLE PALMER
IT'S MOTHERFVCKING COLE PALMER
DAH !
AISEE TUNATISHA TUPEWE KOMBE LETU LEO
 
Cole Palmer ni usajili na usajili bora kabisa kwa Chelsea ndani ya miaka hii kumi .
Acha kabisa ,dogo linaubonda mwingi sana ,kiufupi pale mbele kumeanza kupata makali ya kutosha ,imebaki back line ,yule fala Sanchez naye ni mwezi mchanga ,kama mwendawazimu flani hivi ,ale benchi fala yule .
Kwakweli nimeanza kufurahia hii Chelsea kwa mara ya kwanza tangia aondoke Tuchel
Duh Palmer aongezewe mshahara wa Reece James
 
My boy, Palmer 🥶


20240405_012632.jpg
 
Chelsea dhidi ya Brighton
4-2
HT.

Kufikia sasa nimeshawishika kuwa Cole Palmer na Jadon Sancho ni undroppable
Cole Palmer amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya EPL kufunga mabao manne katika HT
Tosin angekuwa gamble bora kuliko Fofana. Kombi ya Tosin + Colwill ingependeza zaidi
Noni Madueke baada ya hat-trick hiyo ya bahati amekuwa mchezaji asiye na meno, kwanini kocha asimuanzishe Nkunku badala yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom