lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Tajeni uzuri wa williams kama winga na kitu gani, tuanzie hapoJamaa anadhani hatuwaangalii vizuri hao Wachezaji kiuwezo, pia Yamal huwahi kukata pumzi kuliko William na clinical finishing to score hana ubora huo kuliko William.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.