Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata madueke, tutachukua miaka 1000 kutegemea Average players wakupe makombe.
Tulikuwa na kai,mount ,ziyech nk tukabeba uefa ,kwenye chelsea zeal, determination, ambition,morale ndio vitaamua vijana wa chelsea wanaweza kufanya lolote wakiamua
 
Zile pasi za nyuma zisizo na maana hujaziona kabisa? Beki wako Fofana hujaona kabisa utakataka wake, Enzo ana thamani gani mpaka tukatoa hela yote namna ile, Madueke uchoyo wake ipo siku utagharimu timu. Kiufupi bado hatuna timu, bado sanaaaa
In short tumeshajipata tukishaanza kuchukua point kwa team ngumu za middle table kama Westham uhakika wa kuingia big 4 tunao kwa asilimia kubwa.kiukweli tumepata Kocha ambaye sio tapeli ukiangalia team unaona improvement kutoka game moja kwenye nyingine namna anavyotafuta solution in term of defensively superb
 
Siku zote hapa huwa una tetea matakataka kwahiyo sikushangai kabisa.
ninatetea kwa sababu nina jicho la mpira ninyi mnaenda kwa hisia na chuki binafsi. Mpira wa Fofana ninaufahamu vizuri naninajua kipaji chake.
Fofana simtetei acheze ila kumuita takataka ni too much
 
Zile pasi za nyuma zisizo na maana hujaziona kabisa? Beki wako Fofana hujaona kabisa utakataka wake, Enzo ana thamani gani mpaka tukatoa hela yote namna ile, Madueke uchoyo wake ipo siku utagharimu timu. Kiufupi bado hatuna timu, bado sanaaaa
Wote ni wachezaji wazuri, personality ya mchezaji na mchezaji hazifanani
Madueke asipoanza ni sub mzuri kwa sababu ana uwezo wa kucheza 1v1 ukiachilia mbali uchoyo wake ambao utaisha muda unapokwenda
 
Enzo Maresca kwenye mpangilio wake wa kimbinu ambao uliinyanyasa West Ham kwenye kaunta:

"Tulijua tangu waanze msimu, walicheza takriban michezo yote wakiwa na wachezaji watatu nyuma. Ndio, kwa sehemu fulani ya mchezo dhidi ya Fulham na City, walimtoa kiungo mmoja. Lakini pamoja na wale watano, kama leo hivyo tulitarajia hivyo .

Na sababu ya sisi kuweka trigger hapo ni kwa sababu tulijua kuwa na Wan Bissaka upande mmoja na Emerson upande mwingine, beki wao walikuwa juu sana, kwa hivyo wakati tulipopokonya mpira tuliweza kutumia mwanya huo, kama bao la kwanza lilivyofungwa."

1726940612735.png
 
Zile pasi za nyuma zisizo na maana hujaziona kabisa? Beki wako Fofana hujaona kabisa utakataka wake, Enzo ana thamani gani mpaka tukatoa hela yote namna ile, Madueke uchoyo wake ipo siku utagharimu timu. Kiufupi bado hatuna timu, bado sanaaaa
Kijana una negative minded
 
"VIJANA" wengi humu mkuu. Hawajamuona huyo Drogba akicheza ball. Wamekuta clips zake YouTube na stats za hapa na pale WHOSCORED, then wana-conclude Jackson ni bora kuliko akina Drogba.

Kwa mujibu wao, every single player wa kizazi hiki ni bora kuliko waliopita. Hutoamini, ila kuna dogo wa Man U (likely yupo katika early 20s years), alikuwa anamfanisha SCHOLES NA LONGSTAFF WA NEWCASTLE!!!!
Drogba Ile ni Level nyingine.
Ule mwamba uache kama ulivo.
Huwezi linganisha Jackson na Drogba.
Labda kama atakuwa maana umr bado unamruhusu. Ila kwa sasa Jackson bado kwa Didier.
 
Enzo Maresca kwenye mpangilio wake wa kimbinu ambao uliinyanyasa West Ham kwenye kaunta:

"Tulijua tangu waanze msimu, walicheza takriban michezo yote wakiwa na wachezaji watatu nyuma. Ndio, kwa sehemu fulani ya mchezo dhidi ya Fulham na City, walimtoa kiungo mmoja. Lakini pamoja na wale watano, kama leo hivyo tulitarajia hivyo .

Na sababu ya sisi kuweka trigger hapo ni kwa sababu tulijua kuwa na Wan Bissaka upande mmoja na Emerson upande mwingine, beki wao walikuwa juu sana, kwa hivyo wakati tulipopokonya mpira tuliweza kutumia mwanya huo, kama bao la kwanza lilivyofungwa."

View attachment 3102342
Poch sidhan kama kuna siku aliwah zungumza hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom