Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Madueke kidogo anajitahidi ila hao wengine mechi imewakataa mapema sana leo hii.Fofana, Madueke na Enzo wanapaswa kufanyiwa sub hakuna wanacho fanya uwanjani. Chelsea inacheza kwa kuridhika sana, mipira ya kupeleka mbele inarudishwa nyuma.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.