Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 720
- 1,315
Kabisa chief. Aache ujuaji akubali kupokea ushauri na maelekezo atafanya vizuri zaidi ya sasa.Uchoyo tu wala sio mengine,
Madueke ana ego hicho ndio kinamfanya watu wasimpende.
Kabisa chief. Aache ujuaji akubali kupokea ushauri na maelekezo atafanya vizuri zaidi ya sasa.Uchoyo tu wala sio mengine,
Madueke ana ego hicho ndio kinamfanya watu wasimpende.
Umenena vizuri Chief, Cucurela anakiwasha sana, upande wa RB James na Gusto wangekuwepo tungekuwa Bora zaidi. But kiujumla tumejipata kocha aendelee kuboresha mbinu, mifumo na wachezaji wake hope tutamaliza nafasi za juu kwenye msimamo.Madueke toka kafunga hat trick amezidi jiona super star kila nafasi anataka afunge yeye. Ila sina wasiwasi na maamuzi ya Enzo akiendekeza uselfish bech litamuita uzuri number ni zakugombania
Goli kafunga Palmer ila Madueke ni kama vile hajafurahia
Kocha apewe pongezi kwa kujitahidi kuwa dynamic kulingana na opponent jana west ham tumewafanyia uhuni wanaopenda kuwafanyia wengine tumeweka low block wakajaa kwenye mfumo then zikawa zinapigwa quick transition sekunde 5 tupo golini kwao
Cucurella ni kama vile ana notice za mwalimu game ya Bournemouth kuna moment unamkuta kama LW jana kuna muda unamkuta CM katikati ya Caseido na Enzo na tukipoteza mpira kawa mwepesi kurecorver refer technical faulo aliyomcharaza Kudus
Tosin sikuwahi kumrate high kiasi hiki kwenye kupiga pass ila kwa game 2 hizi ameniprove wrong
James na Lavia still ni missing weapons
Umenena vizuri Chief, Cucurela anakiwasha sana, upande wa RB James na Gusto wangekuwepo tungekuwa Bora zaidi. But kiujumla tumejipata kocha aendelee kuboresha mbinu, mifumo na wachezaji wake hope tutamaliza nafasi za juu kwenye msimamo.
😂😂 tumeshajipata Chief tuendeleze ushindi tuu, tusirudi tena kwenye kujitafutaYaani mechi 5 tu unasema umejipata.!!!
Kitakachomuua kimchezo Madueke ni hiyo jeuri yake. Ila pamoiaj na kuwa ana uchezaji fulani wenye faida kwa timu simuoni Madueke akiichezea Chelsea muda mrefu. Kama sio msimu ujao wa kiangazi, msimu unao fuata atauzwa kwa sababu tayari tuna Felix, Neto, Sancho, wanakuja akina Paez na Estevao. Yeye na Mudryk hakiak watauzwaMadueke toka kafunga hat trick amezidi jiona super star kila nafasi anataka afunge yeye. Ila sina wasiwasi na maamuzi ya Enzo akiendekeza uselfish bech litamuita uzuri number ni zakugombania
Goli kafunga Palmer ila Madueke ni kama vile hajafurahia
Kocha apewe pongezi kwa kujitahidi kuwa dynamic kulingana na opponent jana west ham tumewafanyia uhuni wanaopenda kuwafanyia wengine tumeweka low block wakajaa kwenye mfumo then zikawa zinapigwa quick transition sekunde 5 tupo golini kwao
Cucurella ni kama vile ana notice za mwalimu game ya Bournemouth kuna moment unamkuta kama LW jana kuna muda unamkuta CM katikati ya Caseido na Enzo na tukipoteza mpira kawa mwepesi kurecorver refer technical faulo aliyomcharaza Kudus
Tosin sikuwahi kumrate high kiasi hiki kwenye kupiga pass ila kwa game 2 hizi ameniprove wrong
James na Lavia still ni missing weapons
Tukumbuke kuwa Savinho ni mbrazil,Madueke ajifunze kucheza mpira kutoka kwa Savinho, jamaa sio mchoyo kabisa na ana toa pasi kwa wakati.
Madueke ni takataka, Savinho ni mtoto mdogo ila ana akili timamu. Hilo kubwa jinga limeshajiona supastaa wakati akili y mpira ni 0%Madueke ajifunze kucheza mpira kutoka kwa Savinho, jamaa sio mchoyo kabisa na ana toa pasi kwa wakati.
Sana mkuuu tena na hatapendwa kisa Ego dgo mjinga sana hata akitembea anakuwa kama MESS BHANA KUMBE HOVYOUchoyo tu wala sio mengine,
Madueke ana ego hicho ndio kinamfanya watu wasimpende.
Felix siyo mchoyo ila miguu yake ina matege kulenga goli, juzi kapata 2 clear chances to score anapaisha juu mpira na kupiga nnje ya lango.Madueke ni takataka, Savinho ni mtoto mdogo ila ana akili timamu. Hilo kubwa jinga limeshajiona supastaa wakati akili y mpira ni 0%
Kuna wachezaji Guardiola sijui anawatoa wapi, Gundogan, Bernardo Silva, Rico Lewis now Gvardiol, Savihno
Madueke ni takataka, Savinho ni mtoto mdogo ila ana akili timamu. Hilo kubwa jinga limeshajiona supastaa wakati akili y mpira ni 0%
Kuna wachezaji Guardiola sijui anawatoa wapi, Gundogan, Bernardo Silva, Rico Lewis now Gvardiol, Savihno
Sanchez wa Poch sio wa Enzo na anavyozidi kuendelea ndio atazidi kuimarika hata yale makosa yake binafsi yanapungua.Jackson ni mchezaji mzuri hata asipofunga goal kuna vitu ana offer zaidi kwenye team kuanzia link up na wenzake, pressing,dribble na movement zake ndani ya box zinatengeneza nafasi kwa wachezaji wa mbele kuingia inside na mtu anafaidika zaidi ni PalmerHuwa naandika hapa tuna lundo la matakataka kibao ila kuna baadhi wanawakingia kifua eti kisa kufunga magoli, kufanga magoli kwenye mechi hakuondoi utakataka. Enzo, Madueke, Jackson, Fofana na Sanchez hawa wote ni matakataka.
Ni kweli kabisa, tuwape muda labda umri wao ni changamoto kuhusu maamuzi na umeyakinisha vyema ulipowatolea mifano akina Didie Drogber, De Bruyne na Mo Salah hawakuwa vizuri kwa umri walionao sasa akina Jackson, Madueke.Sanchez wa Poch sio wa Enzo na anavyozidi kuendelea ndio atazidi kuimarika hata yale makosa yake binafsi yanapungua.Jackson ni mchezaji mzuri hata asipofunga goal kuna vitu ana offer zaidi kwenye team kuanzia link up na wenzake, pressing,dribble na movement zake ndani ya box zinatengeneza nafasi kwa wachezaji wa mbele kuingia inside na mtu anafaidika zaidi ni Palmer
Kumbuka Jackson huu ni msimu wake wa pili na ni mchezaji mdogo anapozidi kuendelea ndipo anakuwa mature na beast ni kama alivyoanza Drogba hakuwa tishio na wala hakuweza kufunga zaidi kama alivyofanya Jackson kwa msimu wa kwanza.
Tukija kwa Madueke ni kweli ni mchezaji mchoyo but haindoi yeye kuwa ni mchezaji mzuri kinachomsumbua ni udogo wa umri na kwa aina ya kocha tulionae Madueke atakuwa bora sana hapo mbeleni ubinafsi utaondoka, moja ya kitu kilichoimarika kwake chini ya Enzo Maresca ni ukabaji mwanzo Madueke alikuwa na tabia ya kutembea akipoteza mpira wala hasaidii defensively team ikiwa haina mpira but chini ya Enzo unaona anakaba na anasaidia defensively team ndio maana game yetu dhidi ya Westham kocha hakumtoa japo kule mbele alizingua kidogo.
So kijana usipende kuendeshwa na mihemko badala yake angalia mpira kwa jicho la ufundi na kwa utulivu itakuaaidia sana kina de bruyne, Mo salah wangekuwa wanajudgiwa kama wewe leo wasingekuwa bora walivyoenda team nyingine.
lembu
Cash Money Forever
Mkohoti
juan david
Interlacustrine R
Mudryk anachohitaji kwanza nikurudisha confidence cos kwa aina ya soka la Enzo la kasi ndio aina ya soka la Mudryk,Chini ya poche alifeli kwasababu soka lake aliendani na mfumo wa poche, Poche alipendelea zaidi possession footballNi kweli kabisa, tuwape muda labda umri wao ni changamoto kuhusu maamuzi na umeyakinisha vyema ulipowatolea mifano akina Didie Drogber, De Bruyne na Mo Salah hawakuwa vizuri kwa umri walionao sasa akina Jackson, Madueke.
Je Mudrick ana tatizo la kisaikolojia kushindwa kujikontroo tokana pressure ya Mashabiki baada ya kusajiliwa kwa dau kubwa ila bado hajalitendea hakina hana dalili zozote za kutetea thamani yake au shida ni nini?
Kocha atumie mbinu zipi ili awe kwenye fomu bora sawa na Wachezaji wenzake pale darajani Stamford Bridge?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.