Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado mapema sana
Hizi kauli zilipaswa kuanza kusemwa tangu pre season. Wakat tunafungwa watu Kelele zilikuwa nyingi wakasahau ni pre season.

Najua bado mapema ila zile kauli za kuhukumu team wakat wa pre season sidhan kama nisahihi
 
Ngopja tufungwe mechi inayofuata, kelele zitajaa humu. Kuna masdhabiki wanasubiri kosa moja tu
 
Mudryk anachohitaji kwanza nikurudisha confidence cos kwa aina ya soka la Enzo la kasi ndio aina ya soka la Mudryk,Chini ya poche alifeli kwasababu soka lake aliendani na mfumo wa poche, Poche alipendelea zaidi possession football
Maresca: "Sidhani kama ni ukosefu wa kujiamini. Misha ni Misha, lazima ukubali jinsi alivyo. Natumai anaweza kupata dakika na kufanya vyema zaidi”
 
Ni kweli kabisa, tuwape muda labda umri wao ni changamoto kuhusu maamuzi na umeyakinisha vyema ulipowatolea mifano akina Didie Drogber, De Bruyne na Mo Salah hawakuwa vizuri kwa umri walionao sasa akina Jackson, Madueke.

Je Mudrick ana tatizo la kisaikolojia kushindwa kujikontroo tokana na pressure ya Mashabiki baada ya kusajiliwa kwa dau kubwa ila bado hajalitendea hakina hana dalili zozote za kutetea thamani yake au shida ni nini?

Kocha atumie mbinu zipi ili awe kwenye fomu bora sawa na Wachezaji wenzake pale darajani Stamford Bridge?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ndg binadamu hawalinganishwa kama kompyuta. Kila mtu anayo style yake ya kipekee ya kukua, kukomaa, kufanya maamuzia na kuweza kufanuikisha mambo kadhaa wa kadha. Mtu mwingine anafanya mambo makubwa katika umri wa miaka 15, mwingine hayohayto katika umri wa miaka 22 na mwingine hayo hayo katika umri wa miaka 25 nk
Roger Milla soka lake lilikuja kukua katika umri mkubwa wakati vijana kama akina Lamine Yamal tayari amekuwa tishio katika umri wa miaka 17
 
Ndg binadamu hawalinganishwa kama kompyuta. Kila mtu anayo style yake ya kipekee ya kukua, kukomaa, kufanya maamuzia na kuweza kufanuikisha mambo kadhaa wa kadha. Mtu mwingine anafanya mambo makubwa katika umri wa miaka 15, mwingine hayohayto katika umri wa miaka 22 na mwingine hayo hayo katika umri wa miaka 25 nk
Roger Milla soka lake liliku8ja kukua katika umri mkubwa wakati vijana kama akina Lamine Yamal t5ayai amekuwa tishia katika umri wa miaka 17
Yamal wa kawaida sana sema tu kila Mtu na mtizamo wake, ila laiti ni mimi ni bora zaidi kumsajili Nico William kulio Yamal.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ni Mtu ila kwangu mimi napendezwa sana na Nico William zaidi ya huyo Yamal sababu hatuwezi kufanana kila kitu Binadamu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Willoiams ni mbio tu hawezi kufikia hata kufi9kia 40% ya Yamal. Yamal n i aina ya winger wanaocheza kwa kutumia IQ kubwa ya mpira, huyo Nico ni kama Mudryk, mbio zake ndio nguvu yake
 
EFL Cup Third Round

Chelsea vs Barrow

Stadium: Stamford Bridge

Formation: 4-2-3-1

----------------Nkunku----------------

Mudryk -----------Felix ------------Neto

---------KDH ---------- Casedei--------

Veiga-------Badiashile-----Disasi (C)----Gusto

-----------------Jorgensen -------------------

Subs:
1) Bettinelli,
2) Acheampong,
3) Chilwell,
4) Colwill,
5) Fernandez,
6) Chukwuemeka,
7) George,
8) Washington,
9) Guiu
 
1727210466624.png
 
Willoiams ni mbio tu hawezi kufikia hata kufi9kia 40% ya Yamal. Yamal n i aina ya winger wanaocheza kwa kutumia IQ kubwa ya mpira, huyo Nico ni kama Mudryk, mbio zake ndio nguvu yake
Yamal sio hatari 1v1 anahitaji space kubwa kufanya operations hawezi kufanya chochote kwenye tight space,kiufupi usimpe distance ni kama Saka na ubora wake upo kwenye kushambilia nafasi zilizo wazi LAKINI Nico ni hatari 1v1 hata mkimfuata kikundi anapita katikati yenu,anapenda anayemkaba amkalinie zaidi ili ampike kwelikweli , kiufupi ni Salah mtupu anapaswa kuongeza uwezo wa ku cave tu.
 
Jamaa anadhani hatuwaangalii vizuri hao Wachezaji kiuwezo, pia Yamal huwahi kukata pumzi kuliko William na clinical finishing to score hana ubora huo kuliko William.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom