Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ze blauzi na nyie mnajadili nini na timu imeshajifia?
 
Kwanini City anazifunga kirahisi timu zinazopaki bus? THE BLUES inatakiwa ichezeje ili azifunge timu za uchezaji wa kupaki bus?
Wana wachezaji wanaoweza kucheza 1v1 wazuri
Sisi alikuwaga Hazard bingwa wa 1v1
Sancho kocha kasema wamemsajili kwa kusudi hilo, Madueke naye mzuri na hata Neto. ebu tusubiri tuone huko mbeleni kama dawa itakuwa atyari
 
Wacha tuone
 
Kwanini City anazifunga kirahisi timu zinazopaki bus? THE BLUES inatakiwa ichezeje ili azifunge timu za uchezaji wa kupaki bus?
Sababu kuu ni hizi
1. Wanajua position ya kukaa wakiwa na mpira na wapi pa kuwa wakipoteza mpira, sisi tukipoteza mpira tunasindikiza adui mpaka line ya mwisho ya mabeki no urgent pressing and quick movement of ball
2.wanakaba wote na kushambulia wote kwa haraka hivyo hata ukipaki basi wanachohitaji ni ufanye mistake au uloose concentration unakuta wachezaji mpaka 4 wako ndani ya boksi/danger zone
3.wachezaji wake karibu wote wako na confidence wakiwa na mpira mguuni hii inawapa multiple options ya kutengeneza chances za kufunga magoli
4. Wining mentality ipo juu ni nadra kuwakuta city wanapiga pasi za bonanza hata kama wanaongoza. Timu muda wote wa mchezo inanjaa ya ushindi sio watoto wa Boehly 1-0 mabeki wanapasiana tu na mpira hauvuki nusu ya uwanja
 
Ninge kua kocha wa CFC, ninge mpanga nicolas Jackson number 8 kama attacking mid fielder kwa sababu anajua kudribble na kupass mpira kuenda mbele ila sio accurate katika kufunga, caceido no 6 defensive mid fielder, Palm winga upande moja na madweke no 7, James full back na cuculera upande mgine Enzo sub fofan (cb) af natafuta tapping striker kama osmhen au Tonny ..........hapo timu inakua kama Man city........timu yetu sio mbaya ila morale na confedence viko chini sanaa, ule mpira wajana tulikua tuna umaliza first half tena kwa 3.0 ila basi tu.
 
Issue kubwa kwenye low block ni kupenya sio kukaba. Kukaba iko kama ulivyoeleza ila ugumu mkubwa uko kwenye kuweza kuipangua defense na kufunga mabao
Ili uweze kuichambua low block defense lazima uwe na mawinga ambao ni wazuri kwenye 1v1
City wanaye Silva, Doku, Phoden, Grealish kidogo nk

Na sisi kuna wachezaji wamesajiliwa kwa kulenga huo ugumu
Neto, Madueke, Felix, Sancho ni wazuri kwenye hiyo
Hata Mudryk akiweza kuifanyia kazi maamuzi yake anawatoka wacheza kirahisi
Mim i bado namatumaini kuwa hizi timu hazitatusumbua kama msimu uliopita. Uzuri wa Maresca anafanyia kazi madhaifu haraka sana
 
Mi nadhani tunatakiwa tubadilishe muundo wa kucheza kwa maana tunao wachezaji wa 1v1 tatizo bado ni lile lile kucheza lundo sehemu moja, hatutanui uwanja/space. Team zinazopaki bus zinafurahi sana wachezaji wako wakicheza kwa lundo sehemu 1.

Mfano mechi ya juzi angalia upande wa Mudyk ulikuwa lundo la wachezaji sehemu 1, wanalazimisha kupita upande huo wanakutana na lundo la wachezaji wa palace.

Wachezaji wanatakiwa watanue uwanja na mipira iwe inahamishwa kwa haraka upande mmoja kwenda mwingine, hapo wakina Mudyk na Madueke watapata space kubwa ya kudribble kuingia ndani.

Angalia Liverpool wanavyocheza Salah, Diaz wanakuwa Na space kubwa kushambulia kwa haraka, pande zote tofauti na THE BLUES tunashambulia taratibu kwa lundo kubwa la wachezaji upande mmoja
 
😂😂😂

Screenshot_20240903-005127.png
 
Ninge kua kocha wa CFC, ninge mpanga nicolas Jackson number 8 kama attacking mid fielder kwa sababu anajua kudribble na kupass mpira kuenda mbele ila sio accurate katika kufunga, caceido no 6 defensive mid fielder, Palm winga upande moja na madweke no 7, James full back na cuculera upande mgine Enzo sub fofan (cb) af natafuta tapping striker kama osmhen au Tonny ..........hapo timu inakua kama Man city........timu yetu sio mbaya ila morale na confedence viko chini sanaa, ule mpira wajana tulikua tuna umaliza first half tena kwa 3.0 ila basi tu.
Bado hauna huo mfumo,Chelsea hana sehemu ya kuoverload anacheza ball kawaida sana, arsenal,city na spurs ndo wana ball ka kisasa zaidi
 
Mkuu kama wewe ni mwalimu au uliwahi kuwa mwalimu utanielewa.
Katika mechi kumi au 20 inategemea umejiandaaje kumsahihsiha na kumpa maksi
Kama original negativity bado iko kwako nadhani mechi hizo 10 ni unatafuta cha kumkosoa na kuhalalisha dhana yako kuwa Pochettino alikuwa bora kuliko yeye.
Acha uoga mkuu sina nia ya kumfananisha Enzo na Poch. Nitamjudge Enzo kwa perfomance yake na sio factor nyingine.

Ningependa mjadala wa Poch usiingizwe tuepushe mijadala isiyokua na maana
 
🔵⚠️ Cole Palmer has withdrawn from the England squad, Chelsea confirm.

Cole will spend the rest of the international break at Cobham.
 
Attachments

  • 20240903_213734.jpg
    20240903_213734.jpg
    99.6 KB · Views: 11
takwimu za Drogba alikuja Chelsea akiwa na miaka 25
2004/5: mabao 10 katika mechi 26
2005/6: mabao 12 katika mechi 29
2006/7: mabao 20 katika mechi 36
2007/8: mabao 8 katika mechi 19
2008/9: mabao 5 katika mechi 24
2009/10: mabao 29 katika mechi 32
2010/11: mabao 11 katika mechi 36
2011/12: mabao 5 katika mechi 24
2014/15: mabao 4 katika mechi 28

Takwimu za Nicolas Jackson - alikuja Chelsea akiwa na miaka 22
2022/3: mabao 14 katika mechi 36
 
Nadhani Jackson amekuja msimu wa 2023/14 siyo 2022/23
 
Mchezo dhidi ya Palace nilipata wasaa wa kuutazama nami nitie neno kidogo kutokana na nilicho kiona.

Thamani ya Enzo sijawahi kuiona toka amenunuliwa, ni mchezaji alie nunuliwa kwa pesa nyingi sana lakini uwanjani anacheza ugoro. Pasi anazo piga kwenda kwa wenzake ni upumbavu mtupu, eti nae ni kiungo, inasikitisha sana.

Sijawahi kumuelewa Jackson pindi anapo kuwa anakokota mpira anakuwa wazi kutoa pasi kwa mwenzake lakini hafanyi hivyo mpaka anapokonywa mpira. Jamaa ana upumbavu mwingi mwingi tu.

Mpaka sasa bado najiuliza huyu kocha kilaza tulie nae aliona nini cha maana kwa Sanchez ambacho Petrovic hana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom