Bao la mwezi wa Agosti lilifungwa kwa mpira wa juu ya kichwa na Cole Plamer
Palmer ameanza mapema mno, sijui atakuwa na medali ngapi ifikapo mwisho wa msimu huu
View attachment 3095035
hata hao akina Sterling wangebaki wasingeachwa kwenye u21Nimefurahi sana kupata habari hii ya kwamba Ben Chilwell kujumuishwa kwenye kikosi cha Chelsea epl kwa hiyo ndugu zetu tutamuona sana mwanetu Chilwell
Me natamani kocha angekuwa anampanga Veiga kama Center back kuliko left back sioni hii nafasi anafiti sana na eneo lingine ni la kiungo wa chini analiweza sana kwa mara nyingi akingia kati unaona ni mchezaji mzuri sijui kwanini kocha halioni hili kule kwenye left back wabaki tu Cucurella na Ben Chilwell basi.hata hao akina Sterling wangebaki wasingeachwa kwenye u21
Kuwatenga mwanzoni ilikuwa kuwatishia tu ili maagent wao watafute timu ya kuwanunua
hata hivyo Chilwell atatumika tu sana kama kutakuwepo na Majeruhi. Kwenye LB atakuwa na peckling order ya 3 baada ya Cucurella na Veiga
Ngoja tuone, Kiungo wako wengi labda CBMe natamani kocha angekuwa anampanga Veiga kama Center back kuliko left back sioni hii nafasi anafiti sana na eneo lingine ni la kiungo wa chini analiweza sana kwa mara nyingi akingia kati unaona ni mchezaji mzuri sijui kwanini kocha halioni hili kule kwenye left back wabaki tu Cucurella na Ben Chilwell basi.
Kushinda itabidi tupambane sana leo.. yale majomba yanapiga kazi vibaya mnooKumtegemea madueke kama chezaji la maana, hapo kocha ndipo alipofeli, kama Poch mashavu na Galagah wake. Na leo tena lazima tukalie msumari wa moto.
Nazungumzia kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza no 6 tunae mmoja tu ambaye ni Laiva na mara nyingi ni majeruhi nafikiri angemtumia Veiga na Caicedo katikati balance itakuwa nzuri kuliko Enzo na Caicedo kwasababu kama ni pass Veiga ni mzuri, anajua kukaba na ni mtulivuNgoja tuone, Kiungo wako wengi labda CB
Unataka kusema ile hatrick aliyopata mwafrika kaokota pochi ya mzungu😀😀😀😀😀😀Kumtegemea madueke kama chezaji la maana, hapo kocha ndipo alipofeli, kama Poch mashavu na Galagah wake. Na leo tena lazima tukalie msumari wa moto.
Madueke sio mmbaya sema tu wewe umpendiKumtegemea madueke kama chezaji la maana, hapo kocha ndipo alipofeli, kama Poch mashavu na Galagah wake. Na leo tena lazima tukalie msumari wa moto.
Enzo pia anacheza na CaicedoNazungumzia kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza no 6 tunae mmoja tu ambaye ni Laiva na mara nyingi ni majeruhi nafikiri angemtumia Veiga na Caicedo katikati balance itakuwa nzuri kuliko Enzo na Caicedo kwasababu kama ni pass Veiga ni mzuri, anajua kukaba na ni mtulivu
Veiga kawekwa kiungo pivot na Caicedo, Haya ndoto zako zimetimia, Ngoja tuone leo itakuwajeNazungumzia kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza no 6 tunae mmoja tu ambaye ni Laiva na mara nyingi ni majeruhi nafikiri angemtumia Veiga na Caicedo katikati balance itakuwa nzuri kuliko Enzo na Caicedo kwasababu kama ni pass Veiga ni mzuri, anajua kukaba na ni mtulivu