Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mchezo dhidi ya Palace nilipata wasaa wa kuutazama nami nitie neno kidogo kutokana na nilicho kiona.

Thamani ya Enzo sijawahi kuiona toka amenunuliwa, ni mchezaji alie nunuliwa kwa pesa nyingi sana lakini uwanjani anacheza ugoro. Pasi anazo piga kwenda kwa wenzake ni upumbavu mtupu, eti nae ni kiungo, inasikitisha sana.

Sijawahi kumuelewa Jackson pindi anapo kuwa anakokota mpira anakuwa wazi kutoa pasi kwa mwenzake lakini hafanyi hivyo mpaka anapokonywa mpira. Jamaa ana upumbavu mwingi mwingi tu.

Mpaka sasa bado najiuliza huyu kocha kilaza tulie nae aliona nini cha maana kwa Sanchez ambacho Petrovic hana.
Timu inaweza kuwa na washambuliaji wachache ila wanaelewana, wanasomana na kucheza kwenye ubora mkubwa sana kupelekea kufunga magoli mengi.

Na timu inaweza kuwa na lundo la washambuliaji ila wakacheza ili mradi ndio haya tunashuhudia THE BLUES sehemu ya kuachia pasi kutoa fursa kwa mwingine kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga unakuta mchezaji anang'ang'ania kukokota tuu wakati uwezo wake kwenye kufanya maamuzi na finishing ni mdogo

Tujifunze kwa city washambuliaji hawalazimishi kucheza vitu ambavyo haviwezekani. Wanarahisisha uchezaji na ufungaji wa magoli kwa kutoa pass kwa mchezaji ambaye yupo kwenye nafasi kubwa zaidi ya kufunga.
 
Ndiko tunakoelekea, mapema mno kuongea tofauti, naamini Enzo Maresca yuko strick kama PEP natamani awe strick zaidi kama Xabi Alonso
 
Mchezo dhidi ya Palace nilipata wasaa wa kuutazama nami nitie neno kidogo kutokana na nilicho kiona.

Thamani ya Enzo sijawahi kuiona toka amenunuliwa, ni mchezaji alie nunuliwa kwa pesa nyingi sana lakini uwanjani anacheza ugoro. Pasi anazo piga kwenda kwa wenzake ni upumbavu mtupu, eti nae ni kiungo, inasikitisha sana.

Sijawahi kumuelewa Jackson pindi anapo kuwa anakokota mpira anakuwa wazi kutoa pasi kwa mwenzake lakini hafanyi hivyo mpaka anapokonywa mpira. Jamaa ana upumbavu mwingi mwingi tu.

Mpaka sasa bado najiuliza huyu kocha kilaza tulie nae aliona nini cha maana kwa Sanchez ambacho Petrovic hana.
So far chini ya Maresca Sancez anacheza vizuri kama alivyotakiwa, fuatilia mpira sio kukosoa tu vitu ambavyo havipo kabisa. Upumbavu wa Sanchez ni wakati wa Pochettino. Angalau huo upumbavu aianza tena kuitosa timu ataweka pembeni na Maresca kalisema hilo mchana kweupe

Kuhusu Jackson ni kweli kuna wakati anacheza vibaya, ila kuna vitu vingi anavyo ofa kuliko washambuliaji wengi wa sasa. Udhaifu wake mkubwa ni kwenye goli na kwenye maamuzi ya kufunga goli, yuko slow hadi ananyang'anywa mpira au kublickiwa

Enzo Fernandez pia, kuna pasi ambazo wachezaji wengine hawawezi kuzifanya. Kuna build ups nyingi anafanya ambazo wengine hawawezi. Ni kweli Lavia akiwa fit na Caicedo, ningewapaendekeza hao kuliko Enzo ila sio kwamba Enzo ni poor CM, Hao waili tu ndio wanamshinda
 
These players are not in Chelsea UEFA Conference League squad
  1. Wesley Fofana,
  2. Cole Palmer and
  3. Romeo Lavia
Confirmed: #Chelsea's 27-man squad for the UEFA Conference League.
Goalkeepers:
  1. Sanchez,
  2. Jorgensen,
  3. Bergstrom
Defenders:
  1. Disasi,
  2. Cucurella,
  3. Adarabioyo,
  4. Badiashile,
  5. Colwill*,
  6. James,
  7. Gusto,
  8. Acheampong*,
  9. Veiga
Midfielders:
  1. Fernandez,
  2. Madueke,
  3. Chukwuemeka,
  4. Nkunku,
  5. Sancho,
  6. Dewsbury-Hall,
  7. Caicedo,
  8. Casadei,
  9. George*,
  10. Dyer*
Forwards:
  1. Neto,
  2. Mudryk,
  3. Felix,
  4. Jackson,
  5. Guiu
 
Kwanini Cole Palmer na Fofana hawapo?
 
Picha za Video ya Estêvão Willian alipokuwa mdogo!! Unaweza kuona alikuwa na kipaji hata wakati huo.

Kwanini Cole Palmer na Fofana hawapo?
Wesley Fofana, Cole Palmer nad Romeo Lavia wamepumzishwa kwa ajili ya kuthibiti uchovu kwaq sababu Chelsea msimu huu itakuwa na mechi nyingi, sio hitilafu wala sio majeruhi. Ni kuwapumzisha tu ili wasichoke na pia kutowarisk kwenye majeruhi
 
kuna fukuto linaendelea kwa wamiliki wetu Clearlake(Eghbal n Feleciano) vs Boehly
Tod Boehly na Eghbali wanavutana sana
Wametofautiana juu ya uendeshaji wa Chelsea
Boehly alikabidhiwa timu kama msimamizi mtendaji miaka miwili iliyopita lakin i hivi karibuni ambaye ana nguvu kwenye maamuzi ni Eghbali hadi imepelekea Boehly kutoridhika
Suluhu pekee sasa ni mmoja akubali kumuuzia mwenzake hisa zake
Eghbali hataki na Boehly hataki pia
Eghbali kashasema wazi hayuko tayari kuuza hisa zake za Blueco
Boehly yeye anaona ni mtu sahihi kusimamia maono ya mradi na ameanza kukusanya pesa zaidi ya dola bilioni 2.5 ili anunue 60% ya hisa za Clearlake Capital.
Huu msuguano hauna faida kwa Chelsea, ila mmoja akiuza hisa zake inaweza kuwa na faida kwa sababu itapunguza urasimu wa kupitisha maamuzi.
Boehly yeye anapenda kusajili wachezaji mchanganyiko wakati Eghbali yeye anapenda tu chipukizi wenye vipaji
 
Hi timu ishakuwa kijiwe cha kahawa , nasikia Toddy hisa zake kuna probability ya kununuliwa na clearlake
Sema yule Eghbali lile jamaa linaonekana ni mafia lile , siku lilishuka usukani hapo .
Nahisi lina elements za Roman Abrahmovich
kuna fukuto linaendelea kwa wamiliki wetu Clearlake(Eghbal n Feleciano) vs Boehly
 
Hizi biashara za partners ni shida , timu inabidi imilikkiwe na mtu mmoja , wasipoangalia watazidi kuleta crisis nyingine na kudidimiza kabisa timu .
Wamarekani vichwa maji hawa
Tod Boehly na Eghbali wanavutana sana
Wametofautiana juu ya uendeshaji wa Chelsea
Boehly alikabidhiwa ti9mu kama msimamizi mtendaji miaka miwili iliyopita lakin i hivi karibuni ambaye ana nguvu kwenye maamuzi ni Eghbali hadi imepelekea Boehly kutoridhika
Suluhu pekee sasa ni mmoja akubali kumuuzia mwenzake hisa zake
Eghbali hataki na Boehly hataki pia
Eghbali kashasema wazi hayuko tayari kuuza hisa zake za Blueco
Boehly yeye anaona ni mtu sahihi kusimamia maono ya mradi na ameza kukusanya pesa zaidi ya dola 2.5 ili anunue 60% ya hisa za Clearlake Capital.
Huu msuguano hauna faida kwa Chelsea, ila mmoja akiuza hisa zake inaweza kuwa na faida kwa sababu itapunguza urasimu wa kupitisha maamuzi.
Boehly yeye anapenda kusajili wachezaji mchanganyiko wakati Eghbali yeye anapenda tu chipukizi wenye vipaji
 
Hizi biashara za partners ni shida , timu inabidi imilikkiwe na mtu mmoja , wasipoangalia watazidi kuleta crisis nyingine na kudidimiza kabisa timu .
Wamarekani vichwa maji hawa
Nadhan mmoja wapo lazima aachilie tu sioni kama watarejea kama mwanzo.

Eghbali anamaamuzi magumu Boehly hana hiyo roho
 
Hizi biashara za partners ni shida , timu inabidi imilikkiwe na mtu mmoja , wasipoangalia watazidi kuleta crisis nyingine na kudidimiza kabisa timu .
Wamarekani vichwa maji hawa
Eghbali kasema hizo hisa alizonunua ametoa pesa yake mfukoni hakuna yoyote aliemchangia wala kumkopesha hata senti moja hivyo hakuna kima yoyote atakae mshawishi kuuza hisa zake, Tajiri miluzi nae kasema hakuna mbwa yoyote atakae muuzia hisa zake maana ana mpango wa miaka ya mbele aimiliki Chelsea kwa 100% na kuigeuza iwe timu ya Rugby.
Ukifika muda wa usajili Tod Boehly anasajili Marasi anaowataka yeye na Eghbali nae anasajili wachezaji anaowataka yeye halafu kila mmoja analazimisha wachezaji wake wapewe namba, hapo kocha kazi yake sio kufundisha bali kuhakikisha mabosi wote wanafurahi kwa kuwaona wachezaji wao uwanjani
 
1725883172584.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom